Last week nilikua napitia matokeo ya madogo wa form six kwa Special Schools (Mzumbe, Tabora Boys, Kibaha na Ilboru) lengo ni kuhesabu One za Tatu yaani ni za kutafuta kwa tochi... Nimeambulia...
NI VYETI GANI VINAKUBALIKA (BIRTH/DEATH CERTIFICATES) KATIKA KUOMBA MKOPO HESLB 2025?
Conditions Nne kwa Cheti cha Kuzaliwa;-
- Sehemu ya Entry Numbers iwe na Tarakimu tupu bila alama yoyote...
CBE nawalalamikia binti yangu kamaliza 2024 Diploma lakini akienda Nactevet anaoneshwa kwamba wahusika wa CBE examinations officers hawajampandoshia matokeo yake yote bila taarifa wala sababu.za...
Nimeenda kwenye stationary kwaajili ya kuomba mkopo bodi ya MIKOPO HESLB sasa tumeanza hatuaa wakanambia kuwa wamemaliza ... Sasa nimeingia kwenye akaunti yangu nimekuta pako kama Hivyo kwenye...
Habari Wanazengo Kama unapojisajili uliweka umezaliwa oversea badala ya mainland Tanzania inakuwaje hapo? Maana hata verification number ya rita hawakuleta tunafanyaje ili kuedit
Habari zenu wakuu,
Nilikuwa naomba msaada kwa anayeelewa Degree ya Metrology and Standardization sehemu atazoweza kufany kazi pamoja na basic salary yake.
Wakuu mimi nimesoma bachelor of science with education, nina gpa ya 4.4 na kwa sasa niko mtaani nina duka la cosmetics.
Sasa wazazi wamenipa shavu kuwa niende masters nikajiendeleze wakati...
Mwaka juzi, kama mwezi wa kumi, nilikuja hapa JamiiForums kuomba ushauri kuhusu kusoma Masters mara tu baada ya kumaliza Degree yangu ya kwanza.
Asilimia kubwa ya wadau waliniponda.
Baadhi...
Naomba kuuliza mamlaka husika je hawaioni hii changamoto katika shule hii.
tatizo la maji mtaa wa kanindo limekua ni tatizo kubwa ni muda sasa japo kua mradi wa maji uko mtaa jirani wa Sawa. na...
Habari wanajamvi,
Kwa masikitiko makubwa nawaomba mnisaidie kunielekeza ni shule gani hapa Dar es salaam inauwezo mkubwa kuwasaidia watoto wenye Uelewa mdogo yaani slow learners??
Kijana wangu...
Unapokuwa unaandika research proposal au dissertation ya masters au undergraduate, process ya kutafuta related studies zinazoendana na objectives au title yako huwa ni kazi ambayo sio rahisi hata...
Leo tuangalie kazi za kitaaluma za Maprofesa wetu kimataifa eg. Google scholar.
1. Anthony Mshandete, 2439 citations
https://scholar.google.com/scholar?hl=en&as_sdt=0%2C5&q=mshandete&btnG=
2...
Habari
Kwa wale wanaohitaji kwenda kusoma USA na Canada kuanzia Masters na Kuendelea
Unaweza kutimiza ndoto zako kwa kupata mkopo kupitia Taasisi za kimataifa zinazotoa mikopo
No collateral...
Mfano Shule ya Wavulana iliyopo Mitaa ya Kawe (jina kapuni), mwajiriwa mwenye Shahada analipwa mpaka 530k baada ya makato inabaki 360k ingali ada kwa Kila Mwanafunzi kwa mwaka ni Sh 12m, hii haina...
Jamani huyu ni last born kwenye familia yetu kapata division 2 ya kumi na moja,dogo anataka chuo asome mbeya na vyuo ambavyo ana vitamani ni mzumbe na T.I,A changomoto iliyopo ni kwamba dg o...
Website ya Utumishi ilikuwa msaada kwa watumishi kuona nafasi za mafunzo yenye ufadhili nje ya nchi. Lakini mwaka huu hakuna mafunzo yanayoonekana kwenye sehemu ya mafunzo, post ya mwisho ni ya...
Nakumbuka mwaka 2009 wakati ndo nimemalza 4m 6, mzumbe university walikua wanaringa kuchukua wanafunzi 2naotegemea Heslb na badala yake wakawa wanachukua wa2 wenye dv 3 wengi kwa kigezo cha kwamba...
Walimu Mbeya DC kutoka CWT kuhamia vyama vingine vya Wafanyakazi ni changamoto.
Tumejaza fomu za kujitoa wamegoma kabisa, ukienda kufuatilia wanasema huu Mwaka wa uchaguzi hawawezi kututoa, muda...