Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Mm ni mwanafunzi wa mwaka wa pili nasoma Bachelor Degree in Human Resource Management. Natafuta field mahali ambapo patanijenga japo nipate uzoefu wa kazi. Naishi Dar es Salaam. Msaada wakuu.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Guys nauliza CBG inaopportunity ya kusomea nini na nini chuo?
1 Reactions
4 Replies
866 Views
Wadau naomba ushauri hapa. Mimi nilisoma na kufanikiwa kumaliza BCOM. Nimemaliza na degree ya India lakini Cha kudhangaza kazi sipati, na nikionganishwa naishia kupata vibarua tu Ila siajiliwi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba mwenye ufahamu anisaidie majibu, maana muda unazidi kwenda tu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanajamii ,namaswali naomba tusaidiane kuhusu koz ya business administration kwa bachelor d *kozi ipi Bora ya B.A ya -BA in general , - B.A in logistics and procurement, -B.A in...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mikopo kwa ajili ya wanaosoma shahada za kwanza (degrees) , Maana kuna wahanga wengi (mimi nikiwamo) , tumeacha masomo kwa sababu tumekosa fedha ya kujilipia ada , !! Msaada please kwa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zenu Wadau wa JamiiForums, Kuna rafiki yangu anaitaji kujua kuhusu chuo kipi kizuri anachoweza kusoma Course ya Information Technology (IT) Yeye amemaliza Form Four (IV) mwaka jana...
0 Reactions
37 Replies
10K Views
Wakuu! Yaweza kuwa umebahatika kuwa na riwaya iliyokatika mfumo wa soft copy na imeandikwa kwa kiswahili. Kama jibu ni ndio tafadhari sana share na wengine tuifaidi.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu TAMISEMI walivyotoa majina ya kujiunga na kidato cha tano na chuo, mwanangu amechaguliwa kwenda Chuo cha Maendeleo ya Jamii Iringa. Nilitaka kufahamu utaratibu wa kujiunga anatakiwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimejaribu kuingia website ya NACTE kwenye upande wa Student Information Verification System. Mara ya kwanza registration status ilisoma Postponed saiv imesoma Terminated, nijuzeni tofauti ya haya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana bodi heshima mbele! Natafuta Mtanzania aliye soma hiyo kozi (BSc in Clinical Medicine)na anafanya kazi.Ikumbukwe kuwa kozi hiyo haitolewi na chuo chochote hapa Tanzania Ingawaje mwaka...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ndugu zanguni, kwa wale tuliofanya supplimentary. Naomba kujua kama matokeo tayari yashatoka. Mwenye habari basi atujuze tuweze kuangalia, kwenye Aris yangu inaonyesha bado.Labda kuna mtu anaweza...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Kuna ukweli au ni kutokusoma kwa wanafunzi wetu?
0 Reactions
72 Replies
18K Views
Mdogo wangu amemaliza kidato cha nne na kupata DvsnIII 25 CIVICS - 'C' HISTORY - 'C' GEOGRAPHY - 'C' KISWAHILI- 'C' ENGLISH - 'D' BIOLOGY - 'D' B/MATH - 'F' tukasubiria labda anaweza kupata...
0 Reactions
13 Replies
12K Views
Habari, Naomba kujuzwa kwa yeyote mwenye experience au hata ambaye hana experience lakini maybe alisikia sehemu kuhusu field mkoa wa Dar es Salaam. Mambo ninayohitaji kujua: 1: Ofisi zote ambazo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Chuo cha ualimu elimu maalumu PATANDI nichuo pekee Tanzania kinachohusika na utoaji wa elimu kwa watoto wenye ulemavu..Chuo hiki kinatoa fani kuu tatu ambazo ni:- 1-uziwi(hearing impaired)...
2 Reactions
4 Replies
6K Views
Hatimaye walimu wa hisabati na sayansi wamepangiwa vituo vya kazi, ambapo walimu wapya 3,081 wakiwamo 1,544 wa wangazi ya shahada na walimu 1,537 wa stashahada. Walimu hao wanatakiwa kuripoti...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ni siku ya tatu leo nimewanunulia ipad kwa ajili ya michezo na masomo imepasuka kioo. Idadi ya vitu walivyoharibu ndani ya nyumba havihesabiki kuanzia kioo cha televisheni n.k. Enyi wana jamvi...
6 Reactions
49 Replies
4K Views
Kwa anaejua shule nzuri za advance (private) kwa mkoa wa Mwanza naomba anisaidie majina ya shule husika, ada, pamoja na mahali zinapopatikana (mitaa). NB: Mwanafunzi anayetafutiwa shule ni jinsia...
0 Reactions
29 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…