Je kuna riwaya yoyote ya kiswahili inayopatikana katika soft copy?

Orketeemi

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
4,313
10,017
Wakuu! Yaweza kuwa umebahatika kuwa na riwaya iliyokatika mfumo wa soft copy na imeandikwa kwa kiswahili.
Kama jibu ni ndio tafadhari sana share na wengine tuifaidi.
 
Back
Top Bottom