Naomba ushuri nifanye nini kusoma Ualimu na masomo gani kwa sasa yanauhitaji?

Yes me

Member
Jun 11, 2020
10
33
Wadau naomba ushauri hapa.

Mimi nilisoma na kufanikiwa kumaliza BCOM. Nimemaliza na degree ya India lakini Cha kudhangaza kazi sipati, na nikionganishwa naishia kupata vibarua tu Ila siajiliwi. Huu mwaka wa saba. Nimekaa hapa nikaona Bora nikasomee ualimu.

Je, nikitaka kusoma ualimu ni somo gani linauhitaji Sana?

Nilikuwa nawaza kusomea ualimu wa kiswahili, hesabu ama English. Na je MTU anaweza kusomea haya masomo yote?

Chuo gani ni kizuri?

Kwa sasa naishi Dar es Salaam
 
Wadau naomba ushauri hapa.. Mimi nilisoma na kufanikiwa kumaliza BCOM. Nimemaliza na degree ya India lakini Cha kudhangaza kazi sipati, na nikionganishwa naishia kupata vibarua tu Ila siajiliwi. Huu mwaka wa saba. Nimekaa hapa nikaona Bora nikasomee ualimu.

Je nikitaka kusoma ualimu ni somo gani linauhitaji Sana?

Nilikuwa nawaza kusomea ualimu wa kiswahili, hesabu ama English. Na je MTU anaweza kusomea haya masomo yote?

Chuo gani ni kizuri?

Kwa Sasa naishi Dar es salaam
Hiyo hela ya kwenda kulipa ada ni bora ukafungua hata kibiashara mkuu

Anyway bora ualimu wa hisabati
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom