Kwa anaejua shule nzuri za advance (private) kwa mkoa wa Mwanza naomba anisaidie majina ya shule husika, ada, pamoja na mahali zinapopatikana (mitaa).
NB: Mwanafunzi anayetafutiwa shule ni jinsia ya kiume na ana ufaulu wa Hist-C, Geog-C, Languange-C, Kiswahili-C.
Natanguliza shukrani.
NB: Mwanafunzi anayetafutiwa shule ni jinsia ya kiume na ana ufaulu wa Hist-C, Geog-C, Languange-C, Kiswahili-C.
Natanguliza shukrani.