Natafuta mahali pa kufanya practical training (field)

Jun 30, 2020
6
1
Mm ni mwanafunzi wa mwaka wa pili nasoma Bachelor Degree in Human Resource Management.

Natafuta field mahali ambapo patanijenga japo nipate uzoefu wa kazi.

Naishi Dar es Salaam.

Msaada wakuu.
 
Back
Top Bottom