Jamani huku mlimani kuna DR mmoja wa Sociology (jina lipo) amekuwa na tabia ya kukamata wanafunzi wengi sana hasa finalists. haina maana hawasomi ila ni kama kuwakomoa tu. mfano mzuri ni mwaka huu kakamata wanafunzi 88 kati ya wanafunzi 190. mimi pia ni mwathirika na nilikuwa nasoma sana kwa kadri ya uwezo wangu. masomo yote nimefaulu vizuri ila yeye tu ndo kanikamata. naombeni tushauriane kwa hili kwani sasa niko mkoani sins kazi, je hiyo naulu ya kuja kufanya supplementary nitapata wapi? maisha yamshakuwa magumu ndugu zangu. aksanteni

Kama hutaki Supp. nenda Mzumbe, Tumaini au Meru Universities.
Kwanza utakuwa na uhakika wa !st Class!
naona kuna michango ya jazba hapa katika mada niliyowasilisha... ishu ni kwamba supplementary ni za kawaida lakini nature ya mtihani na alama za coursework na majibu ya mtihani hayaendani....halafu hoja ya kusoma vitabu haina nguvu hapa...unaweza soma hata vitabu mia lakini ukachemsha kutegemea na tabia ya lecturer....kuna mambo mengi ya kujiuliza kabla ya kuchangia mada... hivi kama lecturer anawa-degrade toka mwanzoni mwa semister kuwa hamuwezi...what do you expect... nimeweka hii mada kuwasaidia wadogo zetu waliopo na watakaokuja...watadisco halafu mtalia bure na wakati huo anatakiwa alipe mkopo wa bodi...ataenda uza kiamba bure...haya
what???
sup sio kipimo cha ufundishaji, au uelewa. ila kama mwalimu anafundisha kwanini amkamate mtoto. na kama mtoto anasoma kweli kwa nini akamatwe.
ila hata huko Mzumbe na Tumaini nako sup zipo. na hapa sio mahali pa comparison, maana tayari tulishaifanya kule nyuma na kufikia mwafaka.
halafu, unataka kusema aache miaka yake mitatu na kuenda kuanza afresh Mzumbe na Tumaini? I wonder on this comment.
kwa hapa UDSM Mwanafunzi anayefeli mtihani na akiwa anahisi ameonewa ana muda pia wa ku "appeal" hilo somo na kuna utaratibu mzuri tu wa mwalimu mwingine kupitia na kusahihisha upya na hatimaye kubadili matokeo ikidhihirika kuna makosa.Kama mnaona somo hilo linaleta shida yaani sup. zinakuwa nyingi kila mwaka kuliko kawaida, ombeni kupitia seneti ili uchunguzi ufanyike. Kwani kunamambo mengi yanayoweza kusababisha hilo. ambayo ni pamoja na
i) background ya wanafunzi juu ya somo husika
ii) uwezo wa mkufunzi ikiwa ni pamoja na uwepo wa learning materials
iii) muda wa somo (endapo units (credit hours) ni chache na mambo yakusoma ni mengi)
nk
Utafiti unaweza kutoa majibu sahihi ambayo yatapelekea mabadiliko na kutatua tatizo.
Mkuu inaonekana hujawahi kusoma vyuo vya hapa hujui kinachoendelea mule ndani......hakuna wahuni mafisadi,mabazazi kama walimu wa Mlimani.....Toa kitu kidogo hasa kwa dada zetu na kama kapigwa buti basi lazima mlijue jiji......Ushauri wa bure ni wew kwenda kufanya hiyo sup.Vijana wa siku hizi mnaruka ruka na kuadika upuuzi mtupu,hoja mbovu zisio na msingi.Muache kutumia Madesa na muanze kusoma Vitabu..
Pole sana.
Gimme a break......huyu kiazi kawa mwalimu pale?wanawaacha watu mambumbumbumbu km kina misanya eti leo lecturer kichwani HANA ALIJUALO KISA ALIPITA KWA KUHONGA HONGA TU
huyo atakua DR. MWAMI tu, yeye ndo anatabia za kukamatisha watu kusudi yaani yy akisapisha ndo anajiskia freeeeeeeeesh na mkiingia tu ktk kozi yake lzm ajifagilie jinsi alivyo mkamataji
japo mm nimemaliza nyuma kidogo lkn hiyo adha naikumbuka!ila tulikua tunawatumia ma-girl friend zake kutuombea msamaha basi yeye ndo anajiona mjanja
tena anachukua sana vibinti pale ili asikukamatishe, na vibinti vinajigonga sana kwake ili visikamatwe yaani ukiskia sehemu yenye degree za chupi basi ni lie department
samahani mwenye swali lako nyie hamkua na 'samaki' kumpa 'amvue'? wenzenu ndo walikua wanaponea hapo!
tatizo ma lecturer wa UD kwao kukamata ndo wanajisiiifu, alafu wanawaacha watu mambumbumbumbukm kina misanya eti leo lecturer kichwani HANA ALIJUALO KISA ALIPITA KWA KUHONGA HONGA TU!
Shule ya mzumbe na Tumaini hamna kitu.