Nini tofauti kati ya Postponed na Terminated kwenye NACTE registration status

Apr 29, 2020
23
45
Nimejaribu kuingia website ya NACTE kwenye upande wa Student Information Verification System. Mara ya kwanza registration status ilisoma Postponed saiv imesoma Terminated, nijuzeni tofauti ya haya maneno.
 

Good Mood

Member
Sep 12, 2018
50
150
Postponed inamaanisha imesogezwa mbele yaan kama mwaka ujao wa masomo na iyo Terminated umeondolewa
Kwa ushauri tembelea nacte kwa msaada zaid
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom