Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wakuu habari za wakati huu, Moja kwa moja katika mada tajwa hapo juu. Naomba mnisaidie details za undani juu ya degree hii. 1. Inahusiana na nini? 2. Field zake zikoje? 3. Idara ambayo inahitaji...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Nina mdogo wangu anataka kuanza Chuo mwaka wa kwanza(Certificate). Nauliza hivi itakuwa ni vyema kama atasoma . INSURANCE AND SOCIAL PROTECTION?
0 Reactions
0 Replies
544 Views
Habari zenu wataalam, nlikuwa napitia past papers za mitihani ya taifa ya kidato cha pili nkaona pepa ya Physics 2017 na 2019 zinafanana, yaan ni km 2017 ilitolewa tu copy na kutolewa 2019. Sasa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wadau... Siyo mara ya kwanza wala haitashangaza mtu kutumia baadhi ya herufi (letters/ the alphabet) kuwakilisha namba mfano, I= II=2 III=3 IV=4 V=5 VI=6 VII=7 VIII=8 IX=9... NK Pia...
0 Reactions
4 Replies
14K Views
Habari wadau. Sote tunajua katika somo linaloleta homa kulifanya na kulifaulu na ukakasi kulipenda na hata ukilipenda halichelewi kukufanya X wake basi ni somo la hesabu au masomo yenye hesabu...
6 Reactions
40 Replies
7K Views
Mwezi mmoja Una wiki 4, na kila wiki Ina siku 7. Hivyo 7*4=28, Sasa basi siku 30 au 31 kwa mwezi hutoka wapi? Karibuni wanasayansi
2 Reactions
1 Replies
752 Views
Habari ndugu, Naitwa Hamduni Dauda Ibrahimu, Napenda kuomba nafasi ya kazi katika nyanja ya ualimu kwa masomo ya PHYSICS na CHEMISTRY. nipo mkoani Kagera ila niko tayari kufanya kazi mahala...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
habarini wana JF, napenda kuwakaribisha wadau waliosoma Makongo high school enzi hizo tukumbushane mambo mbalimbali ambayo kwa namna flani yalikufanya kutosahau maisha ya pale, mimi mpaka kesho...
1 Reactions
81 Replies
14K Views
Linapokuja suala la self education, yaani elimu binafsi ambayo huhitaji kufanya mitihani darasani au kuhudhuria darasani basi ni vyema ukathamini unachosoma kwa kununua vitabu na sio pdf. Hizi...
5 Reactions
21 Replies
4K Views
Mitaala ya shule za wazungu tangu shule za awali hadi vyuoni Kuna somo linalowafundisha wanafunzi namna ya kufikiria ( critical thinking and problems solving). Mfano, wazungu wanakwambia there...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari GTs wote! Awali ya yote nipende kushare na nyie utata ambao nimeshindwa kufikia mwafaka mimi binafsi. Hii ni kutoka normal life we encounter every day. Tukio lenyewe lilikuwa hivi, jana...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
  • Closed
Nimepata Taarifa za kuhuzunisha kuwa mtihani wa kidato cha sita kuvuja na kwamba maneno ya Ndlichako na Dr.Charles msonde kuibua maswali mengi Mara ya kwanza sauti ya ndalichako Akiwa mezani...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Habarini wakuu, Zaman nakumbuka ukihitimu degree basi inakubidi uwe na GPA ya 3.5 ili uwe na sifa ya kuweza kufundisha chuo, lakini sikuhizi naona wanaweka GPA ya 3.8 kwa degree,swali langu ni je...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Wanajukwaa leo nimekuja na shida. Nilipotelewa na vyeti vyote vya elimu, hati ya kusafiria na cheti cha kuzaliwa. Vilipotea mwaka jana nilifanikiwa kutaarifu polisi. Nikapata kiapo cha mahakama...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Habari wana JF Mwezi ujao namaliza Diploma ya Procurement pale t.i.a sasa nilikua nataka nibadilishe kozi, ipi ni kozi nzuri kati ya project planning management vs community development...
1 Reactions
8 Replies
6K Views
Mtaalamu wa elimu ya awali na elimu ya watoto wadogo (early childhood education). Level yake ya elimu ni shahada kutoka chuo kikuu kinachotambulika na serikali hapa Tanzania, pia ana uwezo mkubwa...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Mpaka sasa maombi ya vyuo yaliyofunguliwa ni kwa vyo vya afya. Je, vyuo vingine apart from Afya maombi yanafunguliwa lini? Mwenye taarifa anijuze. NACTE tunaomba majibu!
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Habari wakuu poleni na majukumu nina ndugu yangu wa kike kamaliza four six sasa anawaza aendele na elimuya juu sasa utata unakuja hajui akosome nini na vyuo gani vinawez kuwa vizuri na kozi gani...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wanafunzi wakutwa na majibu ndani ya chumba cha mtihani Na Abdalla Nsabi, Maswa SAKATA la kuvuja kwa mitihani ya kidato cha pili inayoendelea kote nchini imeingaia hatua mpya baada ya baadhi...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Ufanuzi wa computing field zote hapa kwa form six lever wote kama information technology,computer science,computer engenering,software engeneering na related course kwa ngaz ya bachelor degree...
1 Reactions
1 Replies
758 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…