NECTA WALIFELI WAPI KATIKA HILI?

josephwaara

JF-Expert Member
Jun 18, 2016
304
637
Habari zenu wataalam, nlikuwa napitia past papers za mitihani ya taifa ya kidato cha pili nkaona pepa ya Physics 2017 na 2019 zinafanana, yaan ni km 2017 ilitolewa tu copy na kutolewa 2019.
Sasa najiuliza hivi nini hasa lilikuwa lengo la baraza kurejesha mtihani uliofanyika ndani ya miaka miwili? Je hii ni sahihi kitaaluma?

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
View attachment 1530141View attachment 1530143
 
Hii ni kwa ajili ya walimu tu, tena wenye akili timamu.
Kwani mitihani iliyokwisha kufanyika ni siri??

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Unahisi jibu lako hili linathibitisha utimamu wako na ualimu wako? Nilihisi hata asiyekuwa na utimamu wa akili hapa angedurufu mitihani husika na miaka husika hapa ili ijadiliwe kwa hoja. Pole sana kwa kudhani upo timamu.
 
Soma majibu yako bila shaka utaona sentensi iliyokwaza.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Kushindwa kusimamia hoja kusikufanye uhisi upo na watoto yumkini wewe ndiye mtoto.. ukipata challenge usipaniki, huo unaitwa ukomavu.
Sasa hoja gani nasimamia hapa? Pepa zimejaa mtandaoni kwani ni siri kwamba nadanganya? Sasa mtu kakoment "na bado nkapata 0", huyu unamweka kwenye kundi la watu wazima??

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Upimaji wa kielimu ni taaluma pana sana,utakuwa huna ujuzi wa maswala ya upimaji ndio maana unapata tabu.
Kuna kitu kinaitwa "test retest",ni somo pana sana,huenda si size yako.
 
Bila shaka utakua mwalimu wa kiswahili na civics.
 
Upimaji wa kielimu ni taaluma pana sana,utakuwa huna ujuzi wa maswala ya upimaji ndio maana unapata tabu.
Kuna kitu kinaitwa "test retest",ni somo pana sana,huenda si size yako.
Ujuaji mwingine buana Test Retest kwa watahiniwa tofauti??? Tumia akili mkuu hapa unajadili na mfizikia mkuu

Back
Top Bottom