Bachelor of Art in Geography and Environmental Studies

Nyamwezi Boy

Member
Joined
Dec 15, 2019
Posts
81
Reaction score
221
Wakuu habari za wakati huu,

Moja kwa moja katika mada tajwa hapo juu. Naomba mnisaidie details za undani juu ya degree hii.

1. Inahusiana na nini?
2. Field zake zikoje?
3. Idara ambayo inahitaji wataalam wa degree hii?

Msaada wenu ni muhimu sana.

FB_IMG_15556907423740325.jpg
 
Navojua inahusu mazingira na jeografia yake, inahusika katika majanga asili kama tetemeke la ardhi, unaweza kuajiriwa kwenye migodi, hospital (kwa ajili ya afya kimazingira) n.k.

Nadhani ni hvy
 
Shukrani sana
 
Achana nayo iyo kozi utakuja jutia badae why ulipoteza mda wako iyo koz jau haina ajira bongo...
 
Bora usome kozi yenye watu wengi lkn ajira zake utangazwa kila leo mfano Account,Procurment,logistics,
 
Shukrani sana, hapa kuna mdau aliniomba details za hii kozi ndio nikaileta hapa jukwaani
 
Navojua inahusu mazingira na jeografia yake, inahusika katika majanga asili kama tetemeke la ardhi, unaweza kuajiriwa kwenye migodi, hospital (kwa ajili ya afya kimazingira) n.k.

Nadhani ni hvy
Migodini wanawachukua sana wa Environmental Engineering, Environmental health na Environmental Sciencies. Hii ya Geography and Environmental Studies labda uwe upande wa sera na utawala wa mazingira ambapo kibongobongo utasugua soli sana
 
Wakuu habari za wakati huu,

Moja kwa moja katika mada tajwa hapo juu. Naomba mnisaidie details za undani juu ya degree hii.

1. Inahusiana na nini?
2. Field zake zikoje?
3. Idara ambayo inahitaji wataalam wa degree hii?

Msaada wenu ni muhimu sana.

Labda umalize uunganishe na masters ya GIS othetwise kama ni mtoto wa mkulima kaa nayo mbali.

Kama umesoma arts komaa na law
 
Back
Top Bottom