Kozi ya project planning vs community development

mellencian

New Member
May 29, 2019
1
1
Habari wana JF

Mwezi ujao namaliza Diploma ya Procurement pale t.i.a sasa nilikua nataka nibadilishe kozi, ipi ni kozi nzuri kati ya project planning management vs community development? Kulingana na soko la ajira hapa Tanzania au kwa anaejua chochote kuhusu kozi hizo msaada wa mawazo tafadhali.
 
Soma project planning and management
 
Kama hesabu upo vizuri kidogo kasome project planning mkuu na hutojutia kusomea hiyo kozi. Ila hiyo kozi imejaa mtaani sana
 
Habari wana JF

Mwezi ujao namaliza Diploma ya Procurement pale t.i.a sasa nilikua nataka nibadilishe kozi, ipi ni kozi nzuri kati ya project planning management vs community development? Kulingana na soko la ajira hapa Tanzania au kwa anaejua chochote kuhusu kozi hizo msaada wa mawazo tafadhali.
Kwa sababu umekuja na hizi options mbili basi mimi nakushauri usome project management.

Uzuri hata usipopata kazi utaeza anzisha miradi yako na kuisimamia bila shida tofauti na community dev ambayo imekaa kisosholoji sosholoji.
 
Habari wana JF

Mwezi ujao namaliza Diploma ya Procurement pale t.i.a sasa nilikua nataka nibadilishe kozi, ipi ni kozi nzuri kati ya project planning management vs community development? Kulingana na soko la ajira hapa Tanzania au kwa anaejua chochote kuhusu kozi hizo msaada wa mawazo tafadhali.
Mwenzangu mambo ya mkopo umejipangaje maana hatuelewi board kama wataextend dirisha nasi tukawahi kuomba if results yakiwa released
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom