binafsi nimekuwa muathirika wa ongezeko la GPA kwa diploma holders wanaotaka kwenda Chuo Kikuu .Nina diploma ya clinical officer kwenye provisional transcript nina GPA ya 2.7.
Lakini kuna kitu...
Nimelipia Application fee halafu mfumo wenu unasema bado sijalipa na kuonesha control namba hiyo hiyo niliyoitumia kulipia.
Nimewasilisha tatizo langu kwenu mnasema mnalifanyia kazi tangu saa 7...
Binafsi tumezoea kuona miaka yote bodi ya mikopo inafungua dirisha kwa Mara ya kwanza na wanafunzi wanatuma maombi then baada ya kufika deadline dirisha linafungwa.
Baada ya dirisha kufungwa...
Heshima kwenu wakuu!
Leo nimeamua kuja na maoni yangu Binafsi kuhusu wale wanaochaguliwa kujiunga na Diploma ya Kozi mbalimbali,Mimi binafsi sikubaliani na suala la Mtu alie Maliza KIDATO CHA NNE...
Nimemaliza kidato Cha sita 2020 CBG, Div 1.7 kwa matokeo haya:
Chemistry - A
Biology - C
Geography - C
BAM - B
Je, naweza kupata course ya Environmental Health Science pale Muhimbili ukizingatia...
Habari,
Nauliza naweza peleka malalamiko yangu sehemu ipi. Ni hivi chuo akitaki kuweka motokeo yangu nacte toka mwaka jana nimekosa kuendelea na chuo kikuu na mwaka huu awajaweka kila siku...
KWA MARA NYINGINE TENA....
Ni faraja iliyoje tena kwa mkoa wa KAGERA kuendelea kufanya vizur kwa matokeo tena ya kidato cha NNE yaliyotangazwa Jana ...mtiha huu ulifanyika mwaka Jana 2016 na...
Habari za wakati huu wanajukwaa,
Naomba nifahamishwe kuwa naweza kutoka college moja kuhamia nyingine baada ya kumaliza semester moja au ndio hadi nimalize mwaka?
Nawasilisha.
Habari Wana jamvi,Naomba kufahamishwa,Je ada kwa mwanafunzi aliyechaguliwa na tamisemi kujiunga na chip kwa ngazi ya diploma,Je ada ni tofauti na aliyeomba moja kwa moja Nacte?
Habari za muda huu wakuu,
Nataka nifungue studio ambayo ina deal na masuala ya motion graphics hususan mambo ya 3d pamoja na 2d sasa natafuta mtu ambae mwenye uzoefu wa kutosha ambae ninaweza...
Mfumo wa uombaji wa nafasi za mafunzo ya ualimu katika ngazi ya stashahada umefunguliwa. Kama una ndugu au jamaa mtaarifu ikiwa anavigezo vilivyoanishwa anaweza kutuma maombi. Ili kuweza kuona...
Wadogo zangu mnaotarajia kuingia vyuoni, mkasome kwa bidii zote ila kuna siku mtakuja kugundua, tunahitaji PESA na wala sio GPA , na mrundikano wa ma VYETI.
Ni hayo tu lakini.
Habari wakubwa,
Poleni kwa majukumu. Naomba msaada kwa mtu mwenye syllabus ya somo la kingerezaa darasa 4 either kwa picha au hata pdf.
Natanguliza shukrani.
Samahani Wapendwa mimi Ni muhitimu wa kidato Cha sita mwaka huu(2020) nilisoma PCB na nimepata DDD nina two ya 12, Nauliza kama Kuna uwezekano wa kupata Course ya bachelor in Medical Laboratory...
Hii si sauti ya kwanza kupazwa juu ya mfumo wa elimu unaoonekana kupwaya katika kukidhi haja na maono ya watanzania. Ni mfumo tulioachiwa na Waingereza 1961 uliolenga kupata vijana wachache...