ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,662
Heshima kwenu wakuu!
Leo nimeamua kuja na maoni yangu Binafsi kuhusu wale wanaochaguliwa kujiunga na Diploma ya Kozi mbalimbali,Mimi binafsi sikubaliani na suala la Mtu alie Maliza KIDATO CHA NNE (4) kujiunga na ngazi la Diploma nasema hili nikiwa na hoja zangu na mtazamo wangu
Mfano kuna baadhi ya kozi za Afya kumchukua mtu alie maliza Form Four na kupeleka kusoma hizo kozi ni ubakaji wa Kozi haijalishi huyo mwanafunzi amefaulu vipi!
Mfano unamchukua mwanafunzi alie ishia Form Four na kumpeleka kusomea labda Diploma ya Pharmacy au Medicine,hiyo siyo sawa kabisa ukilinganisha na mambo anayo kwenda kusoma chuoni,kozi kama ya pharmacy kwanza mwanafunzi alie ishia kidato cha nne hana shule ya organic wala inorganic lazma atateseka kusoma na ndio mwanzo wa kupitisha watu wasio na sifa
Sijajua kwa kozi zingine za Arts wadau mtanisaidia lakini mimi ushauri wangu ni kuwa mtu atakaye kuwa anataka kusoma Diploma kwa baadhi ya Kozi iwe ni lazima kapitia kidato cha sita kwa masomo ya sayansi kama kozi ni ya afya na masomo ya arts kama kozi ni za arts
Kwa hapa Tanzania mtu alie fika Diploma au anae taka kwenda kusoma diploma watu huchukulia kirahisi sana kuliko uzito wa mambo anayo kwenda kukutana nayo huko
Angalia baadhi ya nnchi zilizo endelea mtu aliesoma Diploma wanavyo mtilia maanani! Sasa hapa mtu kafika Form Four Anataka kwenda kusoma Diploma ya Engineering hata physics haijui vizuri akifika chuo anabebwa bebwa kwa assignment za kucopy na kupaste mwisho wa siku kichwani hamna kitu
Imefika wakati nchi yetu ithamini elimu yetu kwa kubadiri baadhi ya taratibu iwe mtu anafika kidato cha sita ndo anaenda Diploma!
Kuna baadhi ya zahanati ukienda unaona kabisa HUYU C.O shule hamna!
Mfano South Africa kuna baadhi ya kozi kwa mtu alie pitia Diploma na Yule Fresh from school miaka ya kusoma inatofautiana sasa sisi hapa bongo ni ubabaishaji mtupu