Kagera kivingine tena

josee88

Member
Dec 5, 2016
13
21
KWA MARA NYINGINE TENA....
Ni faraja iliyoje tena kwa mkoa wa KAGERA kuendelea kufanya vizur kwa matokeo tena ya kidato cha NNE yaliyotangazwa Jana ...mtiha huu ulifanyika mwaka Jana 2016 na matokeo yake yametangazwa January ya 2017...juz nilipost makala nikionesha furah yangu juu matokeo mazur walioyapata kidato cha pili kitaifa...niliwashukuru na kuwaomba wazaz , walim na wadau wa elimu kuindeleza juud iyo ya kuinua taaluma mkoan KAGERA narejea Leo tena kwa furah tele na kuwapongeza kwa kushika nafas ya 3 kitaifa na manispaa ya bukoba kushika nafas ya 1 kitaifa.....ongera ongera ongera sana sana....MUNGU ni mwema amin yy ndo mwenye malipo juu ya fadhila hii....ongera sana....wadogo zang kaza butu ....kwa niaba ya wana-kagera tulioko mikoan nawapongeza sana by Josephat Ishengoma (Joseph at.ishengoma@yahoo.com)
7f4450c1626664e6308f10ce68bb46a1.jpg
 
Hongera. Japo naona mnaanza kurudi nyuma tena

Back
Top Bottom