Naomba kujuzwa kuhusu uhamisho (transfers) katika Vyuo vya Afya vya Kati

MUHIZ

Member
Apr 18, 2015
34
4
Habari za wakati huu wanajukwaa,

Naomba nifahamishwe kuwa naweza kutoka college moja kuhamia nyingine baada ya kumaliza semester moja au ndio hadi nimalize mwaka?

Nawasilisha.
 
Ngoja nikusaidie
Ili mwanafunzi ahame kutoka one institute to another ni lazima awe na vigezo vifuatavyo
1.Awe na matokeo yote ya semester kwa level husika. Na asiwe na kiporo chochote either supp/repeat module
2. Awe ameclear na chuo anachotoka maana ake hadaiwi chochote.
3.Awe amepata nafasi katika chuo aendacho, maana ake barua yake imepitishwa na principle wa chuo aendacho
Mwisho kuhama Kuna muda wake maalumu yaana transfer window ikifungwa huwezi hama hadi lkgunguliwe
 
ahsante sana mkuu
 
Je kuhama na kubadili kozi inawezekana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Tafuta chuo cha kuhamia ukipata nafasi ndo uongee.na mkuu wa chuo ulipo then atakupa utaratibu wa kufata
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom