binafsi nimekuwa muathirika wa ongezeko la GPA kwa diploma holders wanaotaka kwenda Chuo Kikuu .Nina diploma ya clinical officer kwenye provisional transcript nina GPA ya 2.7.
Lakini kuna kitu nimegundua leo, ukijumlisha masomo yangu yote na kugawa kutafuta wastani unapata wastani wa 66,hii ni B plus ambayo ni sifa pia ya kwenda Chuo Kikuu. Pia nimegundua tofauti kwenye grades kati ya TCU na kwenye transcript, mfano kwenye transcript B plus ni 70-71 lakini TCU wao ni 65-74.
Sasa je kama nina average ya B plus maana yake si kwamba naweza kwenda Chuo Kikuu? Na je hii haimaanishi kwamba GPA yangu ya kwenye transcript na za TCU zinaweza kuwa tofauti?