Natafuta mtu wa kushirikiana naye katika 3d Application

simango

Member
Oct 20, 2014
94
34
Habari za muda huu wakuu,

Nataka nifungue studio ambayo ina deal na masuala ya motion graphics hususan mambo ya 3d pamoja na 2d sasa natafuta mtu ambae mwenye uzoefu wa kutosha ambae ninaweza kushirikiana naye.

Ambae yupo tayari anicheki whatsApp 0736323245 napatikana.
 
Back
Top Bottom