Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Nimefuatilia na kupata kufahamu kuwa baadhi ya taasisi kwa elimu ya juu bado wanafanya michezo mibaya kwa fedha ya kujikimu ya wanafunzi. Wako watumishi wa hizo taasisi sio waaminifu na...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wadau, Ningependa kujifunza kitu/au kujua kutoka kwenu. Kuna kazi nyingi hasa za serekali zinataka mtu akisomea nje ya nchi wawe awamesajiliwa. Ninacho taka kujua: Mimi nimesomea...
0 Reactions
4 Replies
749 Views
Nimepitia baadhi ya prospectus mbalimbali za baadhi ya vyuo vyetu na nimegundua shida kidogo, ufundishwaji wa geography bado umebaki kuwa wa zamani usioendana na maendeleo ya sayansi na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna mtu anataka nimtumie clip kama document kwa njia ya WhatsApp nafanyaje?[emoji1621][emoji1541] " Naomba utanitumia kama document ili kutopoteza quality".
1 Reactions
8 Replies
904 Views
Wanafunzi waliofauru darasa la saba na hawajapangiwa shule nini hatima yao?
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari ya jioni. Nahitaji mwalimu wa masomo ya Physics na Chemistry (form 5) kwa ajili ya private Tuition. *Muda ni wiki mbili tu. *Kwa siku muda wa kusoma ni masaa 2 tu. Topics zifuatazo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani nimechaguliwa chuo cha St Francis Ifakara... Anaekijua au aliesoma au anaesoma aniambie kikoje.
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Jamani kwa wale wa shamba la mabali sua cheki.........................:A S-confused1: SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTUREP.O.BOX 3000 – CHUO KIKUU – MOROGORO – TANZANIA TELEPHONES: 2603511/4...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Happy new year wana JF! Hope mko poa. Ninatafuta kituo cha kurisiti mtihani wa kidato cha nne chenye gharama nafuu nimejaribu kufatilia kwenye hivi vituo vyenye majina makubwa hapa Dar kama...
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Je, inawezekana kwa mwanafunzi anayeinga mwaka wa pili kozi ya diploma ktk afya kupostpone(due to fee issues) na kusoma kozi nyingine ktk chuo kingine?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wakuu, Samahani mie ni kijana mpambanaji mwenzenu Sasa kulingana na ukosefu wa ajira niliamua kwenda kunitafuta fursa upande mwingine nikaachana na kuisubiria ajira kwa kile nilichosomea...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Matokeo yangu ya kidato cha nne yalikua hivi Bios: b, Chem: c, Geo: e, Kisw: b Hist: c, Phy: f, Math: f, Civ: d Eng: d Plan yangu mimi ni kusoma masomo ya sayansi lakini kama unavyoona...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Pamoja sana familia ya JF..nimesaidika sana hapa kwa mengi..niwatakie wote heri ya Mwaka mpya!! Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
0 Replies
718 Views
Nawasalimia ndugu zangu, Napenda kufahamu njia rahisi ya ku-identify interaction effects, nina zaidi ya 20+ explanatory variables, nataka ni analyse hizo data niweze kujua interaction effects...
0 Reactions
2 Replies
617 Views
Wakuu naombeni msaada kwa mwenye uelewa zaidi juu ya shahada hii na vyuo gani vinatoa ukiachana na chuo kikuu cha dodoma .natanguliza shukrani
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Habari za siku, nataka kujua vyuo vya afya vinavyotoa elimu ngazi ya degree (DOCTOR OF MEDICINE) vyenye ada nafuu ukiachana na 1. MUHAS, 2.UDSM, 3. UDOM, 4........., 5........... 6.........
2 Reactions
22 Replies
12K Views
Ikumbukwe kua Hotuba iliyo tolewa na Mh. Rais dkt John Magufuli pamoja na waziri wa elimu Prof. Joyce Ndalichako wamejipanga kutoa vipaumbele kwa sayansi lakini hii imekua kinyume na Tanzania...
4 Reactions
19 Replies
28K Views
Sorry kwa wale waliosoma course ya uhasibu hili swali linataka points zipi kwenye auditing
0 Reactions
0 Replies
891 Views
Jamani mimi ni mwanafunzi niliye hitimu kidato cha nne mwaka jana bahati nzuri nikafaulu kwa grade 2.18 na Nimechaguliwa kidato cha Tano. Lakin wakuu nilikuw napenda sana nisome PCB lakin physics...
1 Reactions
76 Replies
48K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…