6321
JF-Expert Member
- Oct 16, 2016
- 649
- 1,123
Nawasalimia ndugu zangu,
Napenda kufahamu njia rahisi ya ku-identify interaction effects, nina zaidi ya 20+ explanatory variables, nataka ni analyse hizo data niweze kujua interaction effects. Naweza kutumia njia gan?
Naomba kuwasilisha, nawatakia maandaliz na mapokezi mema ya 2021.