Wadau naombeni ushauri kwenye hili

Son Of Light

Member
Aug 12, 2019
34
95
Matokeo yangu ya kidato cha nne yalikua hivi

Bios: b,

Chem: c,

Geo: e,

Kisw: b

Hist: c,

Phy: f,

Math: f,

Civ: d

Eng: d


Plan yangu mimi ni kusoma masomo ya sayansi lakini kama unavyoona hapo phy na math nimeanguka. Mwaka nipo katika mchakato wa kurudia mtihani nisafishe cheti ninacho jiuliza na kinacho niumiza akili je nirudie masomo yote au hayo tu niliyofeli hasa phy na math? Na nikirudia yote ikatotokea hizo zangu za bio na chem nikazipoteza nitakua nimefanya nini sasa! Embu nisaidieni mdogo enu hapo kimawazo


Lengo langu mi nikusoma masomo ya sayansi nikiukosa u-doctor atleast nipate hata clinical officer.


Asanteni
 

mkorea

JF-Expert Member
Aug 16, 2016
2,923
2,000
Reset kwa kurudia maths na phys tu

Jitahidi uwahi January hii hadi mwezi wa 8 uwe upo vizuri
Elimu iwe lengo lako kuu, sio jambo la ziada kwa mwaka huu. Tofauti na hapo utapeperusha tena bendera

All the best
 

vampire123

JF-Expert Member
Apr 17, 2016
1,111
2,000
MATOKEO YANGU YA KIDATO CHA NNE YALIKUA HIVI
BIOS: B,
CHEM: C,
GEO: E,
KISW: B
HIST: C,
PHY: F,
MATH: F,
CIV: D
ENG: D

PLAN YANGU MM NI KUSOMA MASOMO YA SAYANSI LAKINI KAMA UNAVYOONA HAPO PHY NA MATH NIMEANGUKA. MWAKA NIPO KATIKA MCHAKATO WA KURUDIA MTIHANI NISAFISHE CHETI NINACHO JIULIZA NA KINACHO NIUMIZA AKILI JE NIRUDIE MASOMO YOTE AU HAYO TU NILIYOFELI HASA PHY NA MATH? NA NIKIRUDIA YOTE IKATOTOKEA HIZO ZANGU ZA BIO NA CHEM NIKAZIPOTEZA NITAKUA NIMEFANYA NINI SASA! EMBU NISAIDIENI MDOGO ENU HAPO KIMAWAZO

LENGO LANGU MI NIKUSOMA MASOMO YA SAYANSI NIKIUKOSA U-DOCTOR ATLEAST NIPATE HATA CLINICAL OFFICER.

ASANTENI
Rudia hayo tu uliyofeli mkuu mbona mimi nilifaulu masomo matatu tu then nikarisiti nikapata nyengine nne then nikasoma six now nipo chuo kikuu nachukua degree yangu
 

vampire123

JF-Expert Member
Apr 17, 2016
1,111
2,000
Reset kwa kurudia maths na phys tu

Jitahid uwai January hii had mwez wa 8 uwe upo vizuri
Elimu iwe lengo lako kuu, sio jambo la ziada kwa mwaka huu. Tofaut na hapo utapeperusha tena bendera

All the best
Wanakubali kurisiti kuanzia masomo matatu mkuu
 

Son Of Light

Member
Aug 12, 2019
34
95
Reset kwa kurudia maths na phys tu

Jitahid uwai January hii had mwez wa 8 uwe upo vizuri
Elimu iwe lengo lako kuu, sio jambo la ziada kwa mwaka huu. Tofaut na hapo utapeperusha tena bendera

All the best
Kweli kaka lengo langu mwaka huu ni hilo
 

vampire123

JF-Expert Member
Apr 17, 2016
1,111
2,000
Okey aongezee na somo moja
Yah arudie na geography au achukue literature but huku kuna practical ambazo unaweza fanya theories ambayo ni cost ndogo au practical ambavyo itakucost kidogo and please kuwa commited sana kurisiti sio lelemama
 

vampire123

JF-Expert Member
Apr 17, 2016
1,111
2,000
PCB vipi kwa uzoefu wako ikoje?
Nisikudanganye mkuu mi sikusoma science but nilisoma na wanaosoma science kipindi narisiti so cha kukushauri ni bora ufanye actual practical than theory practical exam hapl inabidi utafute kituo cha kufanyia pepa ambacho kina laboratory kwanza na hapo hapo utakuwa unasoma ndo itakuwa vizuri zaidi.
 

Son Of Light

Member
Aug 12, 2019
34
95
Nisikudanganye mkuu mi sikusoma science but nilisoma na wanaosoma science kipindi narisiti so cha kukushauri ni bora ufanye actual practical than theory practical exam hapl inabidi utafute kituo cha kufanyia pepa ambacho kina laboratory kwanza na hapo hapo utakuwa unasoma ndo itakuwa vizuri zaidi.
Asante mkuu nitaufanyia kazi ushauri wako. J3 nataka nianze kufatilia kituo swala la kituo chenye labaratory nitalizingatia
 

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Aug 23, 2010
4,615
2,000
Risit Physics na Mathematics then tafuta somo rahisi hapo ulirudie. Geography naona bado ni mziki kidogo. Ila litakuongezea option za combination advance.
You can do
CBG
PCB
PCM
EGM
PGM
 

Son Of Light

Member
Aug 12, 2019
34
95
Risit Physics na Mathematics then tafuta somo rahisi hapo ulirudie. Geography naona bado ni mziki kidogo. Ila litakuongezea option za combination advance.
You can do
CBG
PCB
PCM
EGM
PGM
Kweli Geography sio ya kitoto ila nayo nitaichukua asante mkuu kwa option hiyo pia
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom