Kuna mtu anataka nimtumie clip kama document kwa njia ya WhatsApp nafanyaje?

ichumu lya

JF-Expert Member
Aug 11, 2016
2,605
2,729
Kuna mtu anataka nimtumie clip kama document kwa njia ya WhatsApp nafanyaje?

" Naomba utanitumia kama document ili kutopoteza quality".
 
Kwenye WhatsApp bonyeza ile sehemu ya kuAttach halafu badala ya kubonyeza kwenye Audio wewe chagua Document, huwa ni ya kwanza kabisa, halafu utapelekwa kwenye mafile yako kisha tafuta hiyo clip.
 
Nashukuru sana mkuu nimefanikiwa.Siku njema.
Screenshot_20210106-073749_1.jpg
 
Back
Top Bottom