Sidhan kama Kuna chuo Chengine Zaid y UdomWakuu naombeni msaada kwa mwenye uelewa zaidi juu ya shahada hii na vyuo gani vinatoa ukiachana na chuo kikuu cha dodoma .natanguliza shukrani
Mkuu hii ni kozi nzuri sana ya kusoma of which inasaidia kukupa uwanda mkubwa kwenye policy , Planning and education hii ni sawa na wale waliosoma BA in Political science and Public AdministrationWakuu naombeni msaada kwa mwenye uelewa zaidi juu ya shahada hii na vyuo gani vinatoa ukiachana na chuo kikuu cha dodoma .natanguliza shukrani
Sasa mkuu Pilitical sc and public admini hapa bongo bado nayo ni chenga vilevile.Mkuu hii ni kozi nzuri sana ya kusoma of which inasaidia kukupa uwanda mkubwa kwenye policy , Planning and education hii ni sawa na wale waliosoma BA in Political science and Public Administration
Open universityWakuu naombeni msaada kwa mwenye uelewa zaidi juu ya shahada hii na vyuo gani vinatoa ukiachana na chuo kikuu cha dodoma .natanguliza shukrani
Kozi ipi mkuuKama ww ni mwajiriwa na unataka kusoma hiyo ndio kozi nzuri kasome ukiona udom mzingo mzito piga open mdogo mdogo hadi unamaliza
Kozi ipi mkuuKama ww ni mwajiriwa na unataka kusoma hiyo ndio kozi nzuri kasome ukiona udom mzingo mzito piga open mdogo mdogo hadi unamaliza
Sasa mkuu Pilitical sc and public admini Acha kufananisha PSPA na utopolo
Pitia TCU admission guide ya 2020. Download kutoka site yao.Wakuu naombeni msaada kwa mwenye uelewa zaidi juu ya shahada hii na vyuo gani vinatoa ukiachana na chuo kikuu cha dodoma .natanguliza shukrani
Bacharol of education in policy planing and managentKozi ipi mkuu