Harnandez
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 408
- 344
Ikumbukwe kua Hotuba iliyo tolewa na Mh. Rais dkt John Magufuli pamoja na waziri wa elimu Prof. Joyce Ndalichako wamejipanga kutoa vipaumbele kwa sayansi lakini hii imekua kinyume na Tanzania medical school wakati bodi ya mikopo kila siku inatangaza mikopo inayotolewa kwa 100% basis ni ya Fani za afya imekua sivyo kwa vyuo vya private.
Ikumbukwe serikali ina medical school moja tu Muhimbili(MUHAS) na Udom na UDSM MD peke yake lakini vyuo vya private serikali inachangia 3.1M na siyo asilimia 100 kama wanavyodai vyuo hivi vua afya vimekua na ada kubwa ambao umegeuka mzigo kwa wanafunzi wa udaktari na kozi nyingine za afya vyuo kama KCMC ada ni 4.65million, IMTU ada ni 6.25million BUGANDO(CUHAS) ada ni 5.35 millions KAIRUKI (HKMU) 6.45 millions hivyo ni baadhi tu Vinatoza ada kubwa inayo wasumbua wanafunzi wengine wanaamua kuacha masomo
SASA serikali imeamua kua Muhimbili ndo chuo pekee na vingine siyo au maake watu mwaka wa tano, wa nne na hasa hasa mwaka wa kwanza wanalia huku vyuoni ada kubwa na wazazi wanashindwa kuhimili naomba sana serikali kupitia bodi ya mikopo itoe angalau ruzuku iongeze fedha kwanza medical school ni ndogo mno hazizidi hata 10.
chonde chonde angalieni swala la ada kwa wale wanaoendelea na wanaokuja muwape mkopo asilimia 100 kweli siyo mambo ya kuangalia ada za serikali wakati vyuo vya afya vya serikali hakuna. Wanafunzi wasio na ada huondolewa na kuzuiwa kutofanya mitihani na kwenye midicine ni very complicated unaweza uka sup au ukarudia mwaka na kuongeza gharama
Mama Ndalichako naomba uhakikishe hawa wanaokuja kujiunga na ambao tayari wako shule wapunguzie uzito maake wote wapo kusoma kwa ajili ya wananchi wa Tanzania na kuitumikia jamhuri ya muungano
Nawasilisha