Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Je, ninaweza kusoma degree yeyote ya afya nikiwa na Diploma ya Computer Science?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanangu kuna mchongo nimepewa wa kihasibu ila sasa mie sijui chochote kuhusu Tally, Entry ni chache about 15-17 kila mwaka. Kampuni ni ya supplies kwenye maofisi hasa mahospitali. Wana supply...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna utata katika majina ya Mosses Kusiluka wa Mwalimu Nyerere na Dr.Mosses Kusiluka wa Ardhi University. Hili suala linafaa kuchunguzwa kwani Dr.Magoti wa Mwalimu Nyerere Academy ameoa nyumba...
0 Reactions
30 Replies
11K Views
Shule ya Eagles (S.2397) imepata kibali cha kufundisha Tahsusi mpya kabisa ya PMCs ambayo inategemewa Mtihani wa kwanza kabisa ACSEE utafanyika mwaka huu. Haya ni matokeo ya juhudi za muda mrefu...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Jamani naombeni mnisaidie namtafuta mwalimu wa Kunifundisha English so that i can speak fluent English. its very urgent i need teacher to teach me fluently English. Niko tayari kwa malipo ili...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau nilikuwa nauliza ivi inawezekana mtu kumaliza form four na akaenda kusomea diploma nje ya nchi.. Au ni tanzania pekee ndo inatoa elimu kwa ngazi ya diploma.. Na je mtu akitaka kusoma nje ya...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanazuoni habari! Samahani naomba msaada kwa wenye uelewa kidogo na Elimu itolewayo katika vyuo tajwa hapo juu. Ninaomba kufahamu sifa za msingi za kuwa mkufunzi wa vyuo vya ualimu whether...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Sina uwezo wa kucompare vyuo but kati ya vyuo ambavyo zinatoa taaluma ambazo hutaweza kujutia ukishagraduate..pia kuna course nzur 2 ambazo watu hawazijui..course kama archtecture, geomatics...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Wana jf naombeni kwa yeyote anaejua au anaesomea au aliesomea diploma ya ualimu wa sayans sekondar anitajie vyuo vya private vinavyotoa hyo kozi.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nina div. 2 ya pcb ya mwaka 2016. Natafuta chuo wanachofundisha diploma ualimu wa sayansi. Je nitapata wapi chuo na je nitakubaliwa? Msaada plz
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za mchana ndugu zangu. Naomba MSAADA wa yeyote anaefahamu chuo kinachotoa certificate ya medical lab chenye GHARAMA nafuu ili niweze kumpeleka ndugu yangu. Kwa mwenye kufahamu anitajie ila...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
2020-10-13 18:01:04 Image:Facebook.com As times is moving forward, so the technology is also introducing more effective and efficient solutions. However technology advancement brings about...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hii ni kutokana na kuongezeka kwa tahususi tano kama ilivotangazwa na aliyekuwa Waziri wa tamisemi seleman jaffo
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, naomba niende kwenye mada yangu, kumekuwa na matamko ya maafisa elimu(DEO's AND REO's ) kwamba kufikia mwezi wa sita waalimu wawe wamemaliza SYLLABUS na huwa wanaenda mbali zaidi...
1 Reactions
0 Replies
647 Views
Jamani naomba msaada wen, mdogo wangu wa kike amechaguliwa kozi mbili kujiunga elimu ya chuo kikuu. Moja ni Bachelor of science Food science and technology SUA morogoro na nyingine ni Bachelor...
0 Reactions
45 Replies
8K Views
Hii ni baada ya tamko rasmi kutoka kwa aliyekua waziri wa Tamisemi, Selman Jafo
0 Reactions
0 Replies
744 Views
Naombeni ushauri mdogo angu kamaliza kidato Cha nne na kapata four ya 26 Ana "F" ya phy na math pia "C"ya history na kiswahili yaliyobaki Ana "D" Kama Ni kurudia arudie masomo gani? Naombeni ushauri
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mdogo wangu kapafa four ya 26 Ana "F" ya Phy na Math pia Ana "C" ya history na Kiswahili, masomo matano yaliyobaki naomba ushauri tufanyeje. Naombeni ushauri.
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Salaam Wakuu..!! Naomba kufahamishwa kama kuna shule ya A-level ya Private yenye mchepuo wa CBN - Chemistry, Biology and Nutrition ili niweze kumpeleka binti yangu
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Poleni na msiba wakuu wa Rais wetu ngangari ndugu JPM, tuliumbwa na Mungu na kwake tutarejea. Moja kwa moja niende kwenye mada. Nasoma ordinary diploma in pharmaceutical science chuo kimoja...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…