Naomba ufafanuzi wa vigezo vya Chuo cha Ualimu kwa Cheti na Dploma

braity

JF-Expert Member
May 24, 2020
354
442
Wanazuoni habari!

Samahani naomba msaada kwa wenye uelewa kidogo na Elimu itolewayo katika vyuo tajwa hapo juu. Ninaomba kufahamu sifa za msingi za kuwa mkufunzi wa vyuo vya ualimu whether certificate/Diploma ni zipi? Na je kama nahitaji nipate nafasi katika kufundisha chuo cha ualimu ni vitu gani napaswa kuzingatia kuvifuata niende huko? Naomba wakufunzi au yeyote mwenye ujuvi na hilo anisaidie.

Natamani sana sana
 
Back
Top Bottom