flyn ryder
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 656
- 86
Sina uwezo wa kucompare vyuo but kati ya vyuo ambavyo zinatoa taaluma ambazo hutaweza kujutia ukishagraduate..pia kuna course nzur 2 ambazo watu hawazijui..course kama archtecture, geomatics, geoinformatics, environmental engineering na course nyengine bado zina market sana pia unaweza kujiajiri na ajira bado zipo nyingi sana...sipendi ligi just nimetoa ushauri kwa waliokuwa hawajui..nilipokosea naomba mnisamehe