MPEPE
Senior Member
- Oct 20, 2012
- 155
- 65
Habari wanajamvi, naomba niende kwenye mada yangu, kumekuwa na matamko ya maafisa elimu(DEO's AND REO's ) kwamba kufikia mwezi wa sita waalimu wawe wamemaliza SYLLABUS na huwa wanaenda mbali zaidi kwa kuzuia wanafunzi wasiende likizo ndefu wala fupi, muda wote wawepo darasani, je, hii inakubalika kitaalamu? Na kibaya zaidi maeneo yenye matamko kama haya hayafanyagi vizuri kitaaluma. Wataalamu wa psychology na elimu kwa ujumla mnasemaje juu ya hili? Na je wizara ya elimu jambo hili linabaraka zenu?
Nawasilisha.
Nawasilisha.