Physics, Mathematics, Computer Science (PMCs)

Physics, Mathematics, Computer Science (PMCs)

LGF

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2020
Posts
1,406
Reaction score
791
Shule ya Eagles (S.2397) imepata kibali cha kufundisha Tahsusi mpya kabisa ya PMCs ambayo inategemewa Mtihani wa kwanza kabisa ACSEE utafanyika mwaka huu.

Haya ni matokeo ya juhudi za muda mrefu za Eagles High School, zikuwamo kuweka mtandao wa TTCL wa fibre optic toja vagarini, chini ya miradi yao ya "Rudi Nyumbani Kumenoga" na "School with a difference".

Tangu ilipofunguliwa 2006, shule hii imeweka msukumo maalum masomo ya sayansi na biashara, ikiwa na Computer Labs mbili na somo la CIT tangu mwanzo [www.eaglessecondary.com], Tahsusi hii itaendana na nyenzie za natural sciences (PCM, PGM, CBG na PCB)zilizopo tayari.

Zingine ni za biashara ECA, EGM na HGE; na za lugha HKL, HGK na HGL. Hii inazidi kuimarisha Mkoa wa Pwani, hususan Wilaya ya Bagamoyo, kama kitovu cha "cutting-edge education".
 
Hongereni sana, huyu mwanafunzi akimaliza atakua bonge la computer engineer
 
Kuna kombi moja tu ya biashara>> ECA....msichanganye mambo.
 
Kama atasoma zile application za mtaani hamna kitu. Ila kama atachapa code na electronics ya kumputer basi atakuwa konk. Asome intr to digital circuits,analog,comp architecture nk.
 
Back
Top Bottom