Shule za msingi zinafungwa Leo, Niko hapa napitia mitihani na ripoti za wanangu!
Kuna swali hili; Mwamuzi wa mchezo wa mpira wa miguu anaitwa nani? Mwanangu kajibu MWAMUZI kakosa, eti mwalimu...
Habari
Natafuta shule ya sekondari, ya day, nzuri inayofanya vizuri, iliyoko wilaya ya Ubungo au Kinondoni..
Please naomba kama unajua yoyote orodhesha hapa nione nafanyaje
Asantee
Wakubwa shikamoni wadogo wenzangu habari zenu mimi ni mwanafunzi wa uguuzi na ukunga katika ngazi ya diploma.
Niliamua kusitisha masomo kutokana na kukosa ada ambayo nilijichanga kama kijana...
Naomba mnijuze wapendwa nataka kujua mfumo wa kuunganisha vyeti vya kidato cha NNE bado upo na kama upo naomba mnitajie sehemu usika nitakayosaidiwa.
Asanteni🙏
Kama mada inavyojieleza hapo juu, kwa tunaosubiria matokeo ya kidato Cha sita tunaomba mliopita/mliopo & mnaofahamu juu ya kozi mbalimbali vyuoni mtupatie ushauri kwamba kwa watu wenye division...
Wakuu Kuna jambo la kielimu Hapa. Uchaguzi wa TAMISEMI kuhusu selection za Wanafunzi wanaoingia Kidato cha 5 una tuhuma nzito wadau wa elimu tupaze sauti:
1. Uchaguzi haujazingatia vipaumbele vya...
Habari wana-JF nimehitimu kidato cha 4 mwaka jana na nimepangiwa course ya secretarial studies ningependa kufahamishwa kwa wanaoielewa zaidi fursa zake katika kuajiriwa na kujiajiri n.k ntashukuru...
Idara ya elimu ya sekondari wanapashwa kuingalia shule ya sekondari miembe saba iliyoko kibaha mji, shule hii inazaidi ya walimu sabini lakini haina mafanikio ya kitaaluma hata kidogo,
Walimu wa...
Naomba kupata maelezo ya ufahamu kuhusu chuo cha maji hapa Dar kwa wale wenye ufahamu. Aina ya course, malazi, uhakika, mkopo nk.
Nina mtoto wa kaka yangu kamaliza kidato cha nne, na kupangwa...
Samahani wakuu naomba kufahamu hilo kama kichwa cha habari kinavyoeleza.
Nimejaribu kujiuliza elimu yetu vs msaada katika maisha ya kawaida our educational is non creativity, hata ukiuliza nini...
Wakuu, Mwaka huu nimepata interest ya Kuongeza shule, Nimekuwa na Maono ya kusoma Public health kwa muda mrefu kulingana na kazi nnazozifanya,
Nimejaribu kuingia website ya MUHAS bado...
Kuna barua imesambaa mitandaoni ikionyesha mkuu wa chuo cha sauti akishinikiza Wanaoshindwa kulipa ADA kupigwa penalty
Sio Jambo JEMA na la busara kulikalia kimya WAPO WATOTO WENYE shida je...
Nawasalimuni kwa jina la JMT
Ni muda kitambo umepita (yapata miezi minne) toka matokeo ya kidato cha NNE yatoke, lakini hadi leo selections/placements hazijatoka.
Ni vyema kasi iliyopo katika...
Nina mdogo wangu kamaliza form four mwaka jana kapata dv two ya 18. Amechaguliwa kwenda advance akasome HGl.
Sitaki aende ukizingatia ajira huko mbele ni ngumu, kuna uwezekano wowote wa kuweza...