Tovuti ya chuo cha Moshi

kanewi

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
298
199
Wakuu habari,

Kuna tatizo gani na tovuti ya chuo cha Moshi Co-operative University? Ukifungua inakuja kialama kama namba nane ila kimealala na kuzunguka kama kinasachi bila kikomo, tatizo ni kwangu sijui jinsi ya kufungua au kila mtu.

Nashindwa kuendelea na usajiri wa binti yangu aliechaguliwa direct from Form four.

Mwenye namna ingine anisaidie
 
Back
Top Bottom