Kitabu kinachofundisha namna ya ku-build confidence

Kitabu kinachofundisha namna ya ku-build confidence

Almalik mokiwa

Senior Member
Joined
Jun 5, 2020
Posts
147
Reaction score
157
Habarini wakuu!

Natumai wote ni wazima, leo nimekuja na ombi kwenu, kwa yeyote anaefahamu kitabu kinachoeleza namna gani mtu anaweza kutengeneza confidence anihabarishe na namna ya kukipata au kama anacho anitumie tafadhali nitashukuru sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom