Kwa Division III ya mwanzo ya mwaka 2011, form six aombe chuo gani?

braity

Senior Member
May 24, 2020
122
250
Kinachoangaliwa ni cutting point ambazo D mbili nadhan kwa sasa. Je unazo? Km unazo ruksa
 

SUKAH

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
885
1,000
Au unataka ufaulu ,E =E, G=D,M,,=D
Mkuu hapo mwambie ajiandae kwenda diploma tu na atapata kozi nzuri tu, pengine hatoja kabisa .

Kikubwa anza kumuandaa kisaikolojia na achague kozi aipendayo.

Kuna watu walisoma degree zao ila hazijawasaidia sana wakaamua kusoma diploma zikawatoa vizuri.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom