Mkuuu uliomba nacte au wapi? Make nacte washatoa post za vijana kwenda vyuoni ,vyuo vinafunguliwa mwezi kuanzia 13/7.Nataka kufahamu walimu wa CHETI wanaanza lini mwaka mpya wa masomo 2021/2022?
Nilimuombea dogo chuo ila mpaka sasa sijapata majibu yyte, je nitajuaje kama amepangiwa chuo?
Naombeni wajuzi mnisaidie
Katibu mkuu Tamisemi mkuu, au utaratibu umebadilika?Mkuuu uliomba nacte au wapi? Make nacte washatoa post za vijana kwenda vyuoni ,vyuo vinafunguliwa mwezi kuanzia 13/7.
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Utaratibu wa kuomba nafasi ya kusoma chuo grad A ni kuomba nacte ,na nacte washatoa majibu.Vigezo ni kuanzia daraja la 3 na wametoa miongozo kwa wakuu wa vyuo kama kuna mtu amechaguliwa course asioipenda aende chuo anachokiona kinamfaa apeleke vyeti vyake atadahiliwa.Katibu mkuu Tamisemi mkuu, au utaratibu umebadilika?
Mafunzo ya ualimu wa cheti/ nursery
Kwahiyo hawezi kwenda Tena mwaka huu? Maana hatukutuma maombi NacteUtaratibu wa kuomba nafasi ya kusoma chuo grad A ni kuomba nacte ,na nacte washatoa majibu.Vigezo ni kuanzia daraja la 3 na wametoa miongozo kwa wakuu wa vyuo kama kuna mtu amechaguliwa course asioipenda aende chuo anachokiona kinamfaa apeleke vyeti vyake atadahiliwa.
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Nataka kufahamu walimu wa CHETI wanaanza lini mwaka mpya wa masomo 2021/2022?
Nilimuombea dogo chuo ila mpaka sasa sijapata majibu yyte, je nitajuaje kama amepangiwa chuo?
Naombeni wajuzi mnisaidie