Diploma in Computer Science kutoka Open University of Tanzania

SECRET AGENT

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
252
488
Naomba kujuzwa kuhusu hii kozi itolewayo na OUT je inamfanya mtu awe competent katika field hii kwa kuzingatia mfumo wa open sio wa kuingia darasan mda wote. Waliowahi kuisoma au wenye kujua kuhusu kozi hii hapo OUT msaada wenu tafadhali.
 
MKUU,
USIJITAFUTIE MATATIZO KWA BEI NAFUU!!!

NENDA CAMPUS UHUDHURIE REGULAR SESSIONS!!!
 
Back
Top Bottom