Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kuna umuhimu gani au lengo kuu la kuwa na uwongozi wa serikali ya wanafunzi vyuoni inayoundwa na viongozi walioko chini ya mwamvuli wa chama cha kisiasi ni lipi /gani?
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Moja ya jambo ambalo linatakiwa kutiliwa mkazo kwa sasa ni namma ambavyo mfumo wetu wa utoaji elimu unavyoathiri vizazi vyetu hasa vijana. Ni mfumo ambao unalenga sana kuwaandaa wanafunzi kuwa...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Huu ni ukweli mchungu. Tukubali TUKATAE. Huwa nacheka sana nikisikia vyuo vinatangaza nafasi za masomo, hasa hivi vyuo uchwara. Unajiuliza kwa ajili gani? Vijana wanapoteza muda wao na fedha...
12 Reactions
57 Replies
8K Views
Hapa iwe sehemu maalumu ya kuchukua maoni ya wadau kuhusu maboresho ya Mtaala wa elimu Tanzania Naomba wizara iwe inapita kwenye huu uzi 1,Somo la historia ya Tanzania liwe somo la lazima ila...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Walimu wa Geography naomba points hata 4 za swali hili. It is argued that, population growth in developing countries has become the big problem. verify the statement by giving eight points.
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari! Ushauri huu unawafaa vijana waliotoka familia za uchumi wa chini na kati. Imekuwa kama desturi watu wa maisha ya chini na kati kuishi kwa bahati, yaani family haina mkakati kabambe juu ya...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Chagua swali kisha jibu, nitapitia jibu lako kwa kuweka reaction ("thanks👍" ikiwa umepatia na " Wow😲" ikiwa umekosa). 1/ Which grows faster? A. Hair B. Finger C. Nails 2/ I have...
7 Reactions
53 Replies
5K Views
guys naomba ushauri nimesoma comb ya HGE lkn toka o level nilipata "F" ya math hadi advance lkn ninashida xana ya kusomea biashara chuoni.na nimepata division 1 ya 9 advance.nifanyaje Sent using...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wandugu, kijana amemaliza form 6 kapata 1.7,anataka sheria, ni chuo gani kizuri anaweza kusomea🙏🙏
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari, kama kichwa kinavyojieleza kwenye kufanya application za mkopo kila nikiingiza namba ya kidato cha sita inakataa shida itakuwa ni nini?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kichwa cha uzi kinajieleza. Hadi leo sijaona dalili za vijana kupewa muda wa kurudi nyumbani ili wa process maombi yao kwa kushirikiana na familia zao. Miaka iliyopita nini kilifanyika?
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Ndugu wanajamvi salam kwenu nyote. Jamani nina kijana wangu wa kike amemaliza four mwaka jana na kupata div 4. Katika kihangaika kutafuta pahala pa kumpeka kuna jamaa yangu kanielekeza hapo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna Bs in environmental science and management na Bs in laboratory science and technology ziko Ardhi University. Swali ni.. zinafaa kumshauri mtu akasome "in terms of" soko lake uraiani na ugumu...
0 Reactions
2 Replies
718 Views
Mpatie mwanao kitabu hiki chenye muongozo wa namna ya kuweza kufaulu mitihani yake. Ni kitabu kilichojaa mbinu za kusoma na kuelewa kile anachokisoma,mbinu za kukumbuka kile alichokisoma,mbinu za...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba ufafanuzi juu ya course ya Bachelor of Commerce in Marketing na pia kama uweza kujiajiri.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi ni mwanafunzi wa diploma uguuzi na ukunga katika chuo cha afya jijini Mbeya niliamua kuarisha mwaka wa tatu kutokana na changamoto za ada maana kama kijana nimejitahidi sana kupambana maana...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimeangalia matokeo ya form six nimeshangaa kuona idadi ya shule za A level ni 610 tu nchi nzima. Kama nakumbuka vizuri, shule za O level zaidi ya 3,000. Na nyingi ya hizo shule za A level...
6 Reactions
57 Replies
4K Views
Vijana wameaswa na Uongozi kuepuka wanaojifanya mawakala wa TCU. Maombi yaliyofunguliwa ni dirisha dogo kwa ajili ya watu wa Diploma na Certificate.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Naombeni kufahamishwa kuhusu vyuo vya ualimu na mgawanyo wa matokeo ya mitihani yake ya necta kama ifuatavyo: Vyuo: 1. Nini maana ya DSEE, GATCE, na GATSCCE? Matokeo: 2. Nini maana ya...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari wakuu, Thank lord for another day of breathing. Back to point, I made a list of kozi nazoendana nazo (personality, passion etc) By looking at Respective UNI prospectus, and finally list...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom