Abdul Mganyizi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2019
- 1,040
- 2,010
Habari ndugu zangu watanzania,ndugu yangu kwenye matokeo haya yaliyotoka kidato cha sita amepata four ya 16 ,matokeo yake ni Biology =S,Chemistry=S na Geography=D. Sasa anaweza kupata chuo kusoma deploma ya education au course zozote za sayansi ?Nitashukuru kwa msaada wenu.