Habari za jioni wapendwa.ninatumaini nyote mpo salama.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu.naombeni msaada wenu tafadhali.Mahali pawe ni Arusha.
Ninatanguliza shukrani za dhati🥂.
Nimekuwa nikidai matokeo yangu tokea February nikaambiwa nisubiri.
Nimemaliza research April nikategemea matokeo yatajazwa pamoja ila hakuna lolote.
Yani hawa watu wanatutreat kama tunasoma bure...
Habari wakuu,
Katika zama hizi ambapo ushindani wa kielimu ni mkubwa sana, wazazi wengi wamekua wakijitahidi kuwapatia watoto wao msaada wa ziada nje ya shule ili kuhakikisha wanafanikiwa...
Wakuu habari, naomba ushauri. Kijana wangu amemaliza kidato cha nne mwaka 2023 akichukua combination za arts, lakini amepata D moja tu (Kiswahili). Je, katika hali hii anaweza kupata nafasi ya...
TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imetoa fursa nyingine ya kuongeza muda wa udahili wa shahada ya kwanza katika programu ambazo bado zina nafasi kwenye vyuo vikuu nchini kwa mwaka wa masomo...
Kabla sijaleta mada yangu kuhusu ubaguzi niliouona katika baadhi ya vyuo vikuu vya Tanzani ninaomba niwaulize swali moja la msingi. Je! kuna tofauti kati ya bacholor Degree ya inayoitwa university...
Habarini wana jukwaa.
Nimeona nije hapa jukwaani nitoe hili jambo, huenda nitapata ufafanuzi.
Nimekuwa nikikutana na malalamiko ya wanafunzi waliomaliza form 6 mwaka huu, wanaotarajia kujiunga...
Hell
Natarajia kwenda shule nikaongeze elimu sasa nataka ni change course hii ndio naona kwangu
Ipo vizuri embu naombeni mnipe dondo kidogo hii ipo vipi
BACHELOR’S DEGREE IN SHIPPING AND PORT...
📚 Karibu kwenye Group la Wasomaji wa Vitabu Tanzania 🇹🇿
Unapenda kusoma vitabu? Unataka kuongeza maarifa, kuhamasika na kushirikiana na wasomaji wengine?
Hili ndilo jukwaa sahihi kwako!
👉 Jiunge...
Bila kupoteza muda mm ni kijana mwenye umri tajwa hapo juu mwenye mke na mtoto mmoja, nawaza kuamua kutatua mgongano WA ki fikra juu yangu binafsi Kwa kuamua Moja, kurudi darasani.
Nilipata four...
Tafadhali wadau naomba msaada kwenye maswali ya history kama vile maswali gani huwa ni lazima yaje, niandikeje essay ili iwe na mvuto.
Please guys help me.
Mfumo wa udahili wa mwaka 2025/26 na majibu yaliyotangazwa jana umekuwa kandamizi na unaumiza wanafunzi pamoja na wazazi. Wanafunzi wanapochaguliwa mara mbili au zaidi, wakijaribu kufanya...
Jamani wanafunzi tumekosa vyuo naomba TCU wafanye haki yani kweli wanachukua 1.3 hadi 1.6, haya sisi wengine twende wapi sasa, yaani sina tafauti na mt 3 na 4 kweli sio sawa kabisa hata kama...
Ilikuwa jumatatu tarehe 14/02/2000 mida ya mchana nilishuka kituo cha basi Moshi Technical Sec School nikiwa na mama yangu. Tukavuka barabara na kuingia shuleni ili kujiunga kidato cha kwanza...
Msaada kwa wana JF kw anayeweza kuwa anajua site ambazo naweza ku'join na nikashiriki mikutano ya moja kwa moja ya vijana mtandaoni ili niweze kupata ujuzi na maarifa kidogo naomba anisaidie...
UDOM nimeona wameijumuisha kozi ya Bachelor of pharmacy katika dirisha hili la nne la udahili ..hivyo basi hh ni ni fursa adhimu kwa ndugu zetu ambao bado hawajapata chuo na pia wenye ndoto za...
Wakuu JamiiForums ndio kibanda changu cha ushauri hapa nafurahi kushauriwa mambo kadha kadhaa na wadau,nikipata shida nakuja hapa naamini kuna wataalamu mbalimbali.
Ni hivi wakuu mimi nimemaliza...
Salaam wanaJF. kuna mtoto wa cousin sister kachaguliwa hiki chuo lakini nimekuwa namashaka na hiki chuo, kwa wale wanaokifahamu vizuri hiki chuo naomba mchango wenu wa mawazo. je kinatoa mafunzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.