Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

KIJANA WANGU AMEHITIMU KIDATO CHA SITA NA KUPATA DIV II NAOMBA USHAURI KOZI IPI NZURI KATI YA HIZI ACHUKUE AMESOMA HKL (a) Bachelor Degree in Shipping and Port Logistics management (b) Bachelor...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
habari wana JF, Nina swali ambalo watu wengi wananiuliza, kwamba je kwa wenye average ya D kwenye matokeo ya darasa la saba, wanaenda Form 1?? Naombeni msaada
1 Reactions
38 Replies
31K Views
Factors of production refers to the resources that are directly used in the production of goods or services for the aim of making profit. In economics, there are four major factors of production...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Awareness About Road Weighbridges and Road Regulations Is a Must to These Directly Involved Stakeholders.👇 1. Transporters/Trucks Owners 2.Transport Officers 3. Drivers. This Will Help in One...
0 Reactions
0 Replies
163 Views
Habari zenu. Natumaini wote ni wazima wa afya. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, mm nimehitimu kidato cha nne mwaka 2021 shule ya serikali katika wilaya ndogo sana hapa nchini. Ni shule...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania Prof. Said A. Mohamed ametangaza matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2025 leo tarehe 5 Novemba, 2025 Jijini Dar es Salaam. Matokeo...
0 Reactions
1 Replies
585 Views
Habari, Hii course Plumbing and pipe fitting mwanza n chuo gani kizuri ambacho, n day
1 Reactions
2 Replies
277 Views
Kila mtu wa diploma ninayr mfahamu hamna aliyepata hata aliye weka cheti cha kifo . Ni kazi kweli kweli kama mikopo ni ya form six tu waseme
5 Reactions
26 Replies
984 Views
Nauliza kwa GPA yangu ya 4.7 ngazi ya degree naweza pata chuo cha kufundisha Human Resource?
4 Reactions
81 Replies
4K Views
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Ijumaa, Oktoba 24,2025 imetoa awamu ya kwanza ya upangaji mikopo na ruzuku yenye jumla ya wanafunzi 135,240. Idadi hii inajumuisha wanafunzi...
3 Reactions
5 Replies
511 Views
Wadau natanguliza shukrani zangu za awali. Najaribu kuapply postgraduate UDOM cha ajabu system hairespond kabisa na hapo deadline ni 30th August. Unapiga help desk hawapatikani na wachache...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Katika miaka ya karibuni, kumekuwepo na ongezeko la malalamiko kutoka kwa wanafunzi na wazazi kuhusu hatua ya NACTE kufuta matokeo ya baadhi ya wanafunzi bila kutoa sababu za wazi. Hali hii...
0 Reactions
2 Replies
312 Views
Nakumbuka enzi hizo ugali tuliita ngunga(gima) wali uliitwa bee. Ugali ulikuwa ukilala kesho take unakuwa mweusi kama udongo was mbuga. Maharage yenye funza weupe na weusi yalinogesha mlo...
3 Reactions
14 Replies
4K Views
Wanafunzi pamoja na jamii huamini kwamba mwaka wa uchaguzi, mitihani huwa rahisi au matokeo huboreshwa ili kuvutia wapiga kura. Je, hii ni kweli? Au ni kasumba isiyo na ushahidi? Wengine huamini...
1 Reactions
6 Replies
408 Views
Habari zenu wakuu, Leo tunajadili swali moja kubwa: Je, ili kufanikiwa ni lazima umalize chuo? Tukiangalia orodha ya matajiri wakubwa duniani, tunagundua jambo la kushangaza – wengi wao walitoka...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Short history; Azania secondary school is among the oldest schools in the country, started to operate in the year 1933. This means it is now 88 years old (2021). Formally the school was owned by...
7 Reactions
62 Replies
5K Views
Za jioni Hv hapa kuna short course za food production ama food beverage services and sales
0 Reactions
0 Replies
176 Views
Kama una mpango wa kuomba kusoma pharmacy,omba vyuo vifuatavyo: 1. Muhimbili ( Muhas) 2. Bugando ( Cuhas) cha wakatoliki 3. Bugando ( Mwachas) cha serikali 4. KSP kipo KCMC Moshi 5. Udom 6...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Marketing segmentation is an essential tool in marketing used by the marketers to make investments decision. WHAT DOES IT MEAN? Marketing segmentation is the process of dividing(segment) market...
4 Reactions
5 Replies
827 Views
Habari za jioni wapendwa.ninatumaini nyote mpo salama. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu.naombeni msaada wenu tafadhali.Mahali pawe ni Arusha. Ninatanguliza shukrani za dhati🥂.
1 Reactions
12 Replies
524 Views
Back
Top Bottom