Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kumbuka Division One ni zaidi ya elfu 60, Division Two karibu elfu 40, na Division Three zipo chache zaidi elfu 10. Hii inaonyesha ushindani mkubwa sana kwenye udahili unaoendelea vyuoni, hasa...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Leo nataka niwashukuru kipekee walimu wangu walionipa heshima ya kuitwa daktari, chuo kikuu cha udaktari KCMC na CUHAS Bugando, hivi vyuo ni vyuo bora kabisa vya udaktari, nikiwa alumni wa vyuo...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Muda wa matumizi ya namba ya mtihani kidato cha nne na cha sita katika kuomba kujiunga chuo kikuu kwa hapa Bongo(Tz) inachukuwa miaka mingapi kuisha matumizi yake? Mfano nimehitimu kidato cha nne...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Hivi mtu aliyesoma Clinical Officer anaweza kusoma degree gani ukiachana na Doctor of Medicine?
0 Reactions
16 Replies
12K Views
When most people hear the term "literature review," they immediately think of writing a long list of what different authors have said. While summarizing is part of the process, a literature review...
0 Reactions
0 Replies
576 Views
Dirisha la maombi ya vyuo vikuu linafunguliwa tarehe 15 mwezi ujao. Kwa tunaotarajia kuomba OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA tukutane hapa tujadili mawili matatu, pia wenye uzoefu na Open University...
9 Reactions
106 Replies
9K Views
Samahani kwa anayejua kuhusu mwenendo wa dirisha la usajili kwenye vyuo vinavyotoa ordinary diploma in electrical engineering, naomba kujua kama bado nina muda wa kutuma maombi au muda umeshaisha...
0 Reactions
0 Replies
267 Views
Hellw jf,matokeo yetu chuo cha IAA hayatumwi nacte ili tupate AVN.Tumefuatlia lakn tunajibiwa kwa ukali sana,asilimia nyingi yametumwa mwisho ya technician certificate lakin bado pending na...
1 Reactions
0 Replies
223 Views
Profesa Esther William Dungumaro ni Mkuu (Principal) wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Mkwawa (MUCE). Kwa namna anavyoendesha chuo hiki cha umma, inaleta mashaka juu ya uadilifu wa uongozi wake katika...
4 Reactions
8 Replies
3K Views
Bachelor of Accounting - 81 Bachelor of Banking and Finance - 103 Bachelor of Science in Insurance and Risk Management - 553 Ni kweli taifa linahitaji vijana wenye taaluma za Insurance na...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Anonymous
Mamlaka za usimamizi wa mtihani zifatilie hili Jambo, Kwimba walimu msingi wanasimamia mtihani ngazi zote, na walimu Sekondari wanachukuliwa wachache tu kama danganya toto. Chunguzeni mamlaka...
1 Reactions
2 Replies
390 Views
ushauri wa fastar unaitajika f4 fiv comb HGK Vs diploma lab tech
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Anonymous
Kufundisha ni wito. Tenda kazi yako vizuri. Kwanini taasisi nyingi zinafanya kazi mpaka waone jambo kwenye mtandao? Hapo chuoni unakuta wanafunzi wananyanyaswa na hawana pa kwenda wakiofia...
0 Reactions
0 Replies
187 Views
Habari, Dogo kamaliza form six PCB ufaulu wake ni Phy-E, Chem-D na Bios-C, je, anaweza kusoma afya kwa vyuo vya serikali au binafsi? Binafsi anapenda Udaktari au Ufamasia, ushauri afanyaje...
10 Reactions
98 Replies
6K Views
We Are So Primitive Mtu asome kitu ambacho kitamsaidia na kumpa ujuzi Ndio maana Watu wanalalamika Ajira hamna wakati Ilitakiwa upate elimu ambayo itakufanya ujiajiri Mfano mtu anatoka anakuja...
1 Reactions
7 Replies
468 Views
Kati ya IFM- Insurance and Risk Management TIA- Business administration CBE- Banking and Finance Kati ya hvyo vyuo na hzo courses ni chuo gani niende guys naombeni na reason Ila nina diploma ya...
1 Reactions
3 Replies
538 Views
Habari zenu, naombeni kujua kwani Arusha Technical College wanatoa bachelor's degrees in mechatronics and materials engineering na bachelor of mechanical engineering, lakini vigezo vyao wameweka...
0 Reactions
1 Replies
718 Views
Kumekuwa na utaratibu wa kutozwa fedha kwa wanafunzi wanaoenda kwenye taasisi mbalimbali za serikali kujifunza kwa vitendo. Hii ni sehemu ya kujifunza na pia kusaidia majukumu ya taasisi husika...
5 Reactions
59 Replies
3K Views
Naomba msaada wa mawazo kati ya kozi hizo mbili nichague ipi ni nikasome chuo kikuu Bachelor of technical education in computer science au Bachelor of science in information technology?
2 Reactions
2 Replies
668 Views
Salamu! Nimechaguliwa chuo cha tumaini Dar Es Salaam kozi ya IT ngazi ya bachelor. Ila ada naona iko juu kulinganisha na vyuo vya serikali. Je loan board watalipa ada yote ikiwa ntapata mkopo...
2 Reactions
1 Replies
431 Views
Back
Top Bottom