Hivi hawa Open University wanashida gani? Au wanataka mpaka tuwalambe miguu

A

Anonymous

Guest
Nimekuwa nikidai matokeo yangu tokea February nikaambiwa nisubiri.

Nimemaliza research April nikategemea matokeo yatajazwa pamoja ila hakuna lolote.

Yani hawa watu wanatutreat kama tunasoma bure na hatuna thamani yoyote.

Yani leo ndiyo naambiwa inabidi nirudie mtihani wakati mara ya kwanza walihakikisha kuwa tickets zangu ziliscaniwa na nilifanya mtihani.

Nimejaribu kuongea na uongozi wa wanafunzi naona kama kuna malecturer wanaogopwa kila mtu anasema nipotezee.

Naanzaje kupotezea na huu mwaka una matukio mengi hapa nchini nikajua watajishtukia ila imekuwa dharau tena zimezidi.

Na wanajua mtaishia kujichekesha tu. Ilibidi nirudi UDOM tu. Mwenyewe nilikuwa najua Masters naweza kufanya pale ila nikaja kugundua utacheleweshwa bila sababu ya msingi.

Nahisi wao wanaamini watu wakicheleweshwa kumaliza ndiyo chuo kinaonekana bora au kigumu. Ila ni upumbavu tu.

Mtu unadafiri kutoka Kigoma mpaka centre ili kuonana na supervisor wako alafu anakukimbia mara yuko Dodoma mara ghafla yuko Malaysia yani full vurugu.

Ushauri wa bure, chagua chuo kingine kuna watu wangu wa karibu wanapiga bachelor degree nao wanalalamika mambo hayo hayo
 
Kwanini uteseke Mpaka kurudia mitihani? Njoo IAA apa!.., ujinyakulie masters yako chap ukapande cheo kazini.
 
Vyuo vya serikal ni vigumu sana kusoma sio kwasabab wanafundisha sana bali kuna miungu watu Lakn elimu ya Teku na udsm ni sawa haina tofauti ukiondoa miungu watu
 
Nimekuwa nikidai matokeo yangu tokea February nikaambiwa nisubiri.

Nimemaliza research April nikategemea matokeo yatajazwa pamoja ila hakuna lolote.

Yani hawa watu wanatutreat kama tunasoma bure na hatuna thamani yoyote.

Yani leo ndiyo naambiwa inabidi nirudie mtihani wakati mara ya kwanza walihakikisha kuwa tickets zangu ziliscaniwa na nilifanya mtihani.

Nimejaribu kuongea na uongozi wa wanafunzi naona kama kuna malecturer wanaogopwa kila mtu anasema nipotezee.

Naanzaje kupotezea na huu mwaka una matukio mengi hapa nchini nikajua watajishtukia ila imekuwa dharau tena zimezidi.

Na wanajua mtaishia kujichekesha tu. Ilibidi nirudi UDOM tu. Mwenyewe nilikuwa najua Masters naweza kufanya pale ila nikaja kugundua utacheleweshwa bila sababu ya msingi.

Nahisi wao wanaamini watu wakicheleweshwa kumaliza ndiyo chuo kinaonekana bora au kigumu. Ila ni upumbavu tu.

Mtu unadafiri kutoka Kigoma mpaka centre ili kuonana na supervisor wako alafu anakukimbia mara yuko Dodoma mara ghafla yuko Malaysia yani full vurugu.

Ushauri wa bure, chagua chuo kingine kuna watu wangu wa karibu wanapiga bachelor degree nao wanalalamika mambo hayo hayo
Ushauri mzuri huo
 
Wakuu vipi kuhusu Masters za Open na usomaji wake???
Mwenye uelewa na Masters Degree za OUT
 
138694.jpg
 
Nimekuwa nikidai matokeo yangu tokea February nikaambiwa nisubiri.

Nimemaliza research April nikategemea matokeo yatajazwa pamoja ila hakuna lolote.

Yani hawa watu wanatutreat kama tunasoma bure na hatuna thamani yoyote.

Yani leo ndiyo naambiwa inabidi nirudie mtihani wakati mara ya kwanza walihakikisha kuwa tickets zangu ziliscaniwa na nilifanya mtihani.

Nimejaribu kuongea na uongozi wa wanafunzi naona kama kuna malecturer wanaogopwa kila mtu anasema nipotezee.

Naanzaje kupotezea na huu mwaka una matukio mengi hapa nchini nikajua watajishtukia ila imekuwa dharau tena zimezidi.

Na wanajua mtaishia kujichekesha tu. Ilibidi nirudi UDOM tu. Mwenyewe nilikuwa najua Masters naweza kufanya pale ila nikaja kugundua utacheleweshwa bila sababu ya msingi.

Nahisi wao wanaamini watu wakicheleweshwa kumaliza ndiyo chuo kinaonekana bora au kigumu. Ila ni upumbavu tu.

Mtu unadafiri kutoka Kigoma mpaka centre ili kuonana na supervisor wako alafu anakukimbia mara yuko Dodoma mara ghafla yuko Malaysia yani full vurugu.

Ushauri wa bure, chagua chuo kingine kuna watu wangu wa karibu wanapiga bachelor degree nao wanalalamika mambo hayo hayo
Yale yale, hawako serious, kufanya kazi kwa mazoea, hovyo hovyo tu!
Not professional or even accountable!
Bure kabisa hao...
 
Back
Top Bottom