Habari zenu ,poleni na majukumu ya kazi.
Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu kuna dogo alikuwa alikuwa anasoma bachelor degree mwaka 2023/2024 chuo cha st john lakn alikapiliwa na changamoto...
Kwa niaba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Chuo cha Usafirishaji cha Taifa kimepewa dhamana ya kuendesha mafunzo ya kozi mbalimbali kuhusu usafiri na usafirishaji pamoja na kozi kuhusu wahudumu...
Wana JF, poleni na majukumu…
Nawasalimu wote kwa heshima kubwa. Sasa nimekuja na hoja nzito kuhusu mustakabali wa watoto wetu, ndugu zetu na Taifa kwa ujumla. Tatizo la elimu nchini ni kubwa...
Wakuu, natamani kujiendeleza kimasomo, nimeona chuo Rwanda kimenifaa( UNIVERSITY OF RWANDA) Hasa kwa ada Ila kwa huko mda unaongezeka toka miaka mitatu huku kule ni minne, swali TCU watakikubali...
FURSA MBALIMBALI ZA UFADHILI WA MASOMO NA TAFITI ZILIZOPO NCHINI JAPAN
(SCHOLARSHIPS FOR INTERNATIONAL STUDENTS IN JAPAN)
Ubalozi unapenda kutoa taarifa kuhusu uwepo wa fursa mbalimbali za...
Leo nimejiuliza sana baada kuona mtoto mwenye umri wa miaka 12 akichapa programming python wakati mimi nimekuja kuijua umri ushakwenda tena kwa tabu.
Yani mtoto huyu elimu wanazopata zinakwenda...
Nili apply diploma in clinical dentistry na nikachaguliwa Tanga collage. Sasa jana trh 5/8 zilitumwa code(msimbo) za ku_verify taarifa NACTEVET lakini mimi sikutumiwa.
Nisaidieni kwa anae Juan hii🙏
Flexible Staking, hizi huwa faida ndogo na risk ndogo kwa kuwa unaweza kutoa muda wowote unaotaka. Sio lazima uweke kufikia siku zote za plan hiyo ya investment.
Locked Stakings, Hizi mara nyingi...
Kwa miaka 90 kurudi chini ilikuwa ngumu kuona shule za msingi zikiwa karibu na sekondari hii iliwapa watoto kutamani kufika sekondari wakimaliza shule ya msingi wanapokutana na wakubwa wao.
Kwa...
Wanafunzi 595,816 wanatarajia kuanza mtihani wa kumaliza elimu ya sekondari kuanzia kesho Jumatatu, Novemba 17, 2025, ikiwa ni kukamilisha safari yao ya miaka minne.
Idadi ya watahiniwa...
Wanafunzi 595,816 wanatarajia kuanza mtihani wa kumaliza elimu ya sekondari kuanzia kesho Jumatatu, Novemba 17, 2025, ikiwa ni kukamilisha safari yao ya miaka minne.
Idadi ya watahiniwa...
Tunafundisha wanafunzi wa ngazi zote (mitaala yote) popote ulipo Tanzania.
Tuna walimu wenye uzoefu, waaminifu, na wanaojali maendeleo ya mwanafunzi.
✔ Masomo ya sayansi na arts
✔ Mitihani ya...
Habari za muda huu wadau wa JamiiForums,
Naomba mwenye uelewa zaidi kwa kozi ya civil engineering na geomatics anisaidie kufanya comparison Kwa nyanja mbalimbali.
Mfano marketability, ushindani...
Hello!
Tafadhali naomba naomba wale wote wenye maswali kuhusu research proposal, dissertations, data analysis, SPSS na mengine yoote yanayohusu academic research uliza hapa!
Pia maswali...
Nimepita kwenye mitandao nikastaajabu mtu anauliza kwa nini watu waandamane, eti waandamanaji wanatafuta Haki hipi licha ya Miundombinu, Afya, Elimu, Ajira na Amani kuwepo. Nikaona pia ni kundi...
Heshima kwenu Wakubwa
Nitoe pole kwa ndugu,jamaa,marafiki Pamoja na watanzania wote waliopoteza wapendwa wao kwa hakika hizi ni nyakati ngumu lakini TUTASHINDA TU
Nirudi kwenye mada kuu wadau...
Habari wakuu,
Naomba kupata mawazo yenu kuhusu hili. Mdogo wangu amefaulu vizuri kidato cha sita akiwa na combination ya PCB, lakini amepangiwa kusoma chuo kimoja huko Dodoma Bachelor of Commerce...
Wakuu naombeni msaada jinsi ya kujiunga na chuo cha ubaharia (DMI) )kozi zake kina anzia pesa kiasi gani.
===
UFAFANUZI NAMNA YA KUJIUGA NA CHUO CHA DMI
Applications for admission are invited...
TAARIFA KWA UMMA
Dar es Salaam, 07 Novemba, 2025
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Ijumaa, Novemba 7, 2025 imetoa awamu ya pili ya upangaji mikopo na ruzuku yenye jumla ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.