Je kwa wazo la katuni za kutoa elimu nimefeli wapi wakuu?

Je kwa wazo la katuni za kutoa elimu nimefeli wapi wakuu?

Mechanic 97

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2021
Posts
1,083
Reaction score
1,499
Wakuu nakumbuka niliwahi kuleta wazo la uchoraji wa katuni zinazohusu sayansi na teknolojia.

Lengo lilikua nikuleta uwelewa juu ya sayansi pamoja matumizi yake yaani technology. Lakini mpaka sasa sielewi nitaliwekaje kwenye jamii.

Nimejaribu kupost kwenye magroup ya facebook. Lakini sijapata mwamko wowote sasa sielewi nakosea wapi?
 
Endelea kupost kila siku mara mbili kwa siku mwaka mzima halafu uje tena hapa utuambie kama hiyo project imefeli
 
Back
Top Bottom