JKT KWA MUJIBU WA SHERIA 2019.

Hivi form six leaver asipoenda jeshini impact yake ni nini kwa TCU na HELSB and future academic carrier?
Sijui kwa sasa nini kinaweza kutokea iwapo anayetakiwa kwenda JKT kwa mujibu wa sheria hatakwenda JKT. Kabla ya JKT kuahirisha mafunzo kwa mujibu wa sheria; yeyote aliyekwepa kwenda JKT kwa mujibu wa sheria (Form six leavers na Form four aliyepitia kozi inayozidi miezi sita), yule Form six leaver asingepata nafasi ya kwenda University (Ukizingatia kuwa wakati ule kulikuwa na UDSM pekee) wala asingepata Direct Employment popote; na yule wa Form four na kozi iliyozidi miezi sita asingepata ajira serikalini.
JKT ya wakati ule (mimi nilikwenda Juni 1983 hadi Juni 1983 OPR NGUVU KAZI - 835 KJ) ilikuwa ni mwaka mmoja kamili; acha sasa hivi miezi sijui mitatu au sita!! Mbona ni burudani tu hiyo?
Enzi zile miezi 6 net ni ya recruitment; kwata na ngarambe za ukweli (no joke). Lakini ndani ya kipindi hicho mtu unajifunza mambo mengi sana yenye manufaa kwa maisha yako binafsi, japo mwanzoni utaona ni mateso; but at the end siku unayoondoka kambini unaweza kutokwa na machozi unapoagana na maafande uliowaona kuwa wanoko wakati wa mafunzo.
Ushauri wangu kwa vijana mnaotakiwa kwenda JKT kwa mujibu wa sheria, nendeni; hamtajutia bali at the end mtafurahia wala hamtajutia.
 
Ujinga ujinga wenu wa migomo isiyokuwa na sababu ni kinyume na uzalendo wa taifa....

Ili mukae sawa wanafunzi inatakiwa mkajifunze uzalendo kuule..

We ushaskia migomo ya kifala fala ya madent km kitambo.

Unaandmana umenyimwa mkopo... Utadhan helsb ni baba ako
 
Mie nilishangaa mwaka juzi kuna waliomaliza A level walifanya vizuri sana na hawakwenda JKT na sasa wako vyuoni.

Kilichonishangaza inakuwaje wengine washinikizwe kutia mguu JKT na wengine walaaa, lakini hawa wanalipiwa na wazazi wao.

Hivi form six leaver asipoenda jeshini impact yake ni nini kwa TCU na HELSB and future academic carrier?
 
Sijui kwa sasa nini kinaweza kutokea iwapo anayetakiwa kwenda JKT kwa mujibu wa sheria hatakwenda JKT. Kabla ya JKT kuahirisha mafunzo kwa mujibu wa sheria; yeyote aliyekwepa kwenda JKT kwa mujibu wa sheria (Form six leavers na Form four aliyepitia kozi inayozidi miezi sita), yule Form six leaver asingepata nafasi ya kwenda University (Ukizingatia kuwa wakati ule kulikuwa na UDSM pekee) wala asingepata Direct Employment popote; na yule wa Form four na kozi iliyozidi miezi sita asingepata ajira serikalini.
JKT ya wakati ule (mimi nilikwenda Juni 1983 hadi Juni 1983 OPR NGUVU KAZI - 835 KJ) ilikuwa ni mwaka mmoja kamili; acha sasa hivi miezi sijui mitatu au sita!! Mbona ni burudani tu hiyo?
Enzi zile miezi 6 net ni ya recruitment; kwata na ngarambe za ukweli (no joke). Lakini ndani ya kipindi hicho mtu unajifunza mambo mengi sana yenye manufaa kwa maisha yako binafsi, japo mwanzoni utaona ni mateso; but at the end siku unayoondoka kambini unaweza kutokwa na machozi unapoagana na maafande uliowaona kuwa wanoko wakati wa mafunzo.
Ushauri wangu kwa vijana mnaotakiwa kwenda JKT kwa mujibu wa sheria, nendeni; hamtajutia bali at the end mtafurahia wala hamtajutia.
Mkuu jaribu kuedit mwaka hapo maana umeandika juni 1983 hadi juni 1983
 
Kumbe umekula chumvi
 
JKT ambayo inabagua haina maana.wengine waende wengine bata home, kwa kuwa hakuna uwezo wa kuwachukua form six wote basi iwe lazima kwa wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu.
Mkopo hakuna ajira hakuna JKT uende kufanya nini.tumia muda huo kutafuta hela ya kujikimu.
Acha tu mkuu ni kweli... Me maza angu alijazwa upepo kuwa sitapata mkopo oohoo Yani hakuelewa kituu ikabidi niende hapo nilishapiga pesa hadi nkajununulia smart phone 2015 hiyoo
 
Anza kujifunza biashara, kule unaenda kupoteza muda tuu
Kama hujui lijue hili, kuna vijana wengi wamepata opportunity through JKT; kupitia JKT pia ni exposure ya kuona fursa mpya. Mtazamo hasi mlionao dhidi ya JKT unatokana na ugoigoi, ulegelege na woga wa kupambana na mazingira ya kijeshi. Kama siyo wewe kijana, nani unataka ukulindie Taifa lako? Majeshi ya kukodi? Ridiculous!!!
 
Kwa hiyo nchi inalindwa na JKT?? Tena mujibu wa sheria,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisheria, unapaswa kwenda. Usipoenda unakuwa umeivunja sheria. Watakufanyaje? Hakuna anayejua.

Ila kimantiki, hakuna faida yoyote.
Yanayosemwa kuhusu uzalendo, ni maneno matamu tu.
 
Kama hujui lijue hili, kuna vijana wengi wamepata opportunity through JKT; kupitia JKT pia ni exposure ya kuona fursa mpya. Mtazamo hasi mlionao dhidi ya JKT unatokana na ugoigoi, ulegelege na woga wa kupambana na mazingira ya kijeshi. Kama siyo wewe kijana, nani unataka ukulindie Taifa lako? Majeshi ya kukodi? Ridiculous!!!
Tusemalo na iwe lazima kwa wote si kubagua kama zamani JK NYERERE akuchagua uwe umetoka A level au Chuo, wote JKT.leo kuna ubaguzi wengine waende wengi wasiende.vigezo gani wanatumia kuwachagua.Tena wasioenda baadhi ndio wanufaika na mkopo na tena anenda chuo cha Umma.aliechaguliwa jkt hapati mkopo anaenda chuo cha binafsi gharama mlima.
Basi na kwa sababu hakuna uwezekano wa wote kwenda national service (JKT )Na iwe ili upate mkopo lazima JKT.NCHI TUILINDE WOTE MKOPO TUPATE WOTE
 
Back
Top Bottom