Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

habari wana Jf karibu uulize chochote kuhusu mwaka wa kwanza watarajiwa songea uulize jambo lolote linalohusu bodi ya mkopo , kujiunga chuo chochote. sana sana SUA...
11 Reactions
289 Replies
42K Views
Kwanini baadhi ya vyuo wanalipia mitihani ya supplementary na wengine hawalipi?
0 Reactions
1 Replies
706 Views
Naulizia chuo gani kizuri kwa mashimo ya computer kwa mwenye elimu ya kidato cha nne.Diploma ya computer sciance .ada nafuu.upatikanaji wa hostel na gharama za maisha.naomba na contact zao.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukijalibu kuchunguza hata kwa hizi International School utagundua kwamba Boarding wako watoto wa Kiafrica pekee hata na Watoto wa Wahindi na Wazungu wako Day yaani wanaenda na kurudi. Niliwahi...
9 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari. NATAFUTA MWALIMU WA KUBADIRISHANA NAYE KITUO CHA KAZI, YEYE AJE KIGOMA MJINI NA MIMI NIENDE KASULU MJINI. Idara : SEKONDARI
1 Reactions
0 Replies
996 Views
Habari wakuuu, Ninaomba majibu ya maswali yafuatayoooo, 1.how does xylem adapted to water transportation?give six points 2.explain how capillarity force governs upward mvt of water and mineral...
1 Reactions
5 Replies
823 Views
Naomba kujua faida za kusoma nje ya Nchi (Bachelor of Science In Agricultural Engineering). Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana, nimezaliwa na kukulia katika kijiji kimoja kilichopo Mkoani...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
DOGO ANA BCD KWENYE COMBINATION ANAWEZA KUFANYA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA KAMA MTAHINIWA WA KUJITEGEMEA(PC)?
1 Reactions
5 Replies
489 Views
Watu wengi mara nyingi huuliza swali jinsi ya kushinda kutojiamini. Ikiwa unaweza kujiambia moja ya maneno haya: aibu, kutengwa, aibu, kujiamini, na zaidi ya hayo, unafikiria kila wakati juu ya...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu. Natumaini kuwa hamjambo na gurudumu la elimu mnazidi kuliendesha vema. Mimi pia sijambo. Namshukuru Mungu. Moja kwa moja kwenye Mada. Tanzania ni kati ya nchi za Africa zenye...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Hellow kwenye hizi selection za diploma mdogo wangu kachaguliwa dar es salaam police academy medical lab hiki chuo kiko waaap kwa dar mwenye kukifahamu vip mazingira yake yanafana?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini wana jamvi, Nilikua naomba msaada nataka ku apply tena kupitia CAS NACTE ila nimechaguliwa chuo kingine na uhitaji wangu ni chuo cu serikalii na apply vp sababu kiLa nikitaka kutuma...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nashindwa kuelewa nini kimetokea hadi karne hii ya sayansi hakuna University Teaching hospital, je hatuyaoni magonjwa sugu yaliyopo? Wizara ina mpango gani?
0 Reactions
10 Replies
838 Views
Habari zenu, Kama kichwa kinavyo jieleza, mimi nilihitimu kidato cha nne 2015. Cheti changu kina makosa kwenye jina kuna herufi imeongezeka kimakosa. Je, nawezaje kurekebisha? Maana sihitaji...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
"our beloved Hon. President John Joseph Magufuli has passed away" after this statement all national flag started flying at a half-mast. Who has power to order the use of this national symbol? A...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Matokeo Ya Maombi Ya Vyuo Vya Afya.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wanajamii Nimekuwa katika wakati mgumu baada kumaliza masomo yangu level ya bachelor degree tangu mwaka 2015 kwani sijawahi pata ajira yoyote ile Kwa sasa nina miaka 32, nauona uzee huu...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
1. Haya machaguo ni sahihi kiasi gani kwa upande wako? 2. Vipi uhakika wa kupata moja wapo, Au unahisi wapi ni rahisi zaidi kupata? 3. Kifutwe kipi au Kiongezwe kipi? Msaada jaman maoni yako ni...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Nimemeliza clinical medicine mwaka jana chuo kipo kanda ya ziwa, nawezaje kupata transcript ili nifate leseni Dodoma.
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom