Chief_mataka
Member
- Jan 27, 2022
- 98
- 97
Matokeo Ya Maombi Ya Vyuo Vya Afya.
Samahani nimeisahau password ya kuingilia kwenye account yangu nafanyeje

Ingia web site ya nacte kisha utabonyeza hapo kwenye picha alama niliyokuwekea ,ukishafungua utaambia andika index number mfano NS1228/9990/2000 kisha search basi utaleta majibuSamahani nimeisahau password ya kuingilia kwenye account yangu nafanyeje![]()
Kama umesahau Password tumia username pekee kuangalia selection kupitia kwenye kitufe cha selection punde tu unapoingia nacte. Namaanisha usiende kulogin kwenye account nenda moja kwa moja ktk selectioSamahani nimeisahau password ya kuingilia kwenye account yangu nafanyeje![]()