Msaada jinsi ya kurekebisha jina kwenye cheti cha kidato cha nne

Spacefox

Member
Aug 10, 2020
93
90
Habari zenu,

Kama kichwa kinavyo jieleza, mimi nilihitimu kidato cha nne 2015. Cheti changu kina makosa kwenye jina kuna herufi imeongezeka kimakosa.

Je, nawezaje kurekebisha? Maana sihitaji nibadili cheti cha kuzaliwa.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
haiwezekani necta hawabadilishi cheti labda uape mahakamani uwe unaambatanisha na kiapo cha jina cha mahakama haya mambo na mm yalinisibu nikaamua kubadili cheti cha kuzaliwa tu ili kiendane sawa na cheti cha form four
cheti cha form four kilikua na jina la Abduli na cheti cha kuzaliwa abdul ikabidi nibadili cha kuzaliwa iwe abduli
 
Kale kiapo mahakamani ubadili moja kati ya kama ni cheti cha kuzaliwa au jina la cheti cha shule ,
 
Nenda kwa msajili wa Hati (anapatikana Wizara ya Ardhi) uape na upewe Deedpol . Gharama zake ni 62,000/=
 
Back
Top Bottom