Hello guys,
Hope wote ni wazima, naomba niende direct kwnye mada tajwa hapo juu,, wapendwa natamani sana kuwekeza DSE but sina knowledge yakutosha hivyo nimekuja kwenu kuomba msaada wa kuelekezwa...
Wadau, kuna fursa nimepata ambapo natakiwa kuanzisha chuo.
Kwa kuanza, chuo kitakuwa kinatoa mafunzo kwa ngazi za certificate na diploma kisha baadaye tutaenda level za juu zaidi.
Sasa natamani...
Habarin wakuu natumai wotee n wazima
Samahan nilikuwa naomba msaada kwa yoyote anaefahamu chuo chochote kinachotoa mafunzo kuhusu transformer kwa hapa Tanzania ahsanten
Jana wametoa tangazo wanachuo wote waliofanya mtihani mwezi Disemba warudi chuoni kuanza masomo tarehe 31 Januari 2022.
Cha ajabu hawajatoa matokeo hadi leo ijumaa tarehe 28 Januari.
Unaweza...
Vijana wamepewa majina mbalimbali ikiwemo NGUVU KAZI YA TAIFA.
Ukweli ni kwamba NGUVU KAZI ISIYO NA KAZI HAINA MANUFAA KWA TAIFA bali inazalisha matatizo mbalimbali katika taifa.
Mtu mwenye...
There is always poor handling issues everywhere.
Everyone who comes into power believes ideas that has just been made by the former president is right, No. We are not happy with how this is taken...
Wakuu habari,
Mwenye uzoefu anisaidie ,nimepata Phy-C,chem-A ,bios-B nmeomba kibaha health college kozi ya clinical medicine, je naweza pata nafasi kwa maksi hizo za kidato Cha nne
Sent from my...
Natumaini mu wazima wa Afya. Poleni Sana wenzangu walio dhaifu kiafya.
Naomba Mnitoe tongotongo wadau wangu. Kwa Muda mrefu nimekuwa nikifuatilia Usajili wa Chuo cha Ufundi. Lengo langu lilikuwa...
Mimi ni Mtanzania nimesoma kwa kiasi kufuta ujinga tu ila nina tatizo kubwa katika uongeaji KIINGEREZA na shughuli zangu zinahitaji sana kuongea KIINGEREZA
Nimejaribu kufuatilia Kwa jamaa...
Habari za muda huu wanajamvi poleni na ujenzi wa Taifa,
Rejea kichwa cha habari tajwa mimi nilipata changamoto niliyowahi kuileta hapa wanajamvi kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Je, naweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.