Muongezee na Benjamin Mkapa DomMuhimbili Medical Center ni teaching Hospital tangu uhuru. Lakini kuna KCMC na Bugando, bila kusahau Mloganzila.
Mmh umesema hakuna niniNashindwa kuelewa nini kimetokea hadi karne hii ya sayansi hakuna University Teaching hospital, je hatuyaoni magonjwa sugu yaliyopo? Wizara ina mpango gani?
Cheating Hotspal.Mmh umesema hakuna nini
UKO NJE YA NCHI AU?Nashindwa kuelewa nini kimetokea hadi karne hii ya sayansi hakuna University Teaching hospital, je hatuyaoni magonjwa sugu yaliyopo? Wizara ina mpango gani?