help on MBA specialization choice! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

help on MBA specialization choice!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by RealTz77, Aug 5, 2010.

 1. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  ndugu wazalendo nimepata fund kwa ajili ya MBA uk, ila nitarudi fanya kazi tz, sasa naomba kwa wenye uelewa je nispecialize kwenye nini? marketing, finance au strategic planning au hrm? tafadhali pia sababu zake na ikiwa urahisi wa nondo etc! sina background ya business studies kabisa!
   
 2. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2010
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  unafanya kazi sekta gani au kampuni gani, je ukimaliza unataka kurudi kwa current employers au kutafuta utaratibu mwingine...

  je wewe umesoma nini mpaka hapa ulipo

  urahisi wa ndondo - je unamaanisha ugumu wa masomo

  chuo kipi unatazamia kwenda ie vyuo mbali mbali vina speciality mbalimbali
   
 3. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  nilisoma uhandisi(engineering), chuo nilichopata ndio kina hizo specialization nilizotaja, nafanya katika sector ya madini, namanisha ugumu wa masomo yes,tushakaa mtaani mwaka wa 15 sasa kichwa kishakuwa na kutu learning tough things. Nikimaliza nataka nitafute utaratibu mwingine ambao utakuwa well paying with more brghter future of career dev and growth!
   
 4. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Acha woga usio na msingi.... wanoenda shule ya msingi wana miaka 80 watasemaje..!! from my intuition(nami sina biz background)
  Kama unafikiria kujiajiri....Marketing is the best!!
  Kama watakuwa manager na decision maker.... |Strategic planning is good!!
  If you want to change a career to mahela... go to finance!!

  NB: be flexible.. in today's world the pyramid of specialisation is upside down!!!:love:
   
 5. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2010
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  formula ya mafanikio bongo ni hard work na connections
  mba hrm - no kwa ajili unakuwa very limited

  mba marketing - zipo telecom na kampuni ambazo ziko marketing intensive upatikanaji wa kazi sio mgumu sana, pia kusoma sio shule ngumu

  mba strategic - hapa utaongeza sana general knowledge hasa katika maswala ya negotiation, na strategy mbali mbali amazo unaweza ukazitumia kwenye marketing na uongozi, pia sio somo gumu kusoma.

  mba finance - kama unavyojua hali ya bongo ilivyo financial instution zinafunguliwa kibao na pia hauko limited kupata kazi zingine kama hr, marketing or management. masomo ni magumu compare na hizo kozi nyingine lakini kutokana na background yako ya eng utaweza ku-manage, na masomo magumu sio mengi sana quantitative-method ambalo linatumika kwenye casino economy financial industry ya bongo hamna haja pia unakuta somo kama hili kwa shule nyingine ni option kwa hiyo unaweza kuliacha. pia utagain more knowledge ambayo inapatikana darasani huwezi kuipata nje kuliko masomo mengine

  ningekuwa mimi ningechagua finance kwanza or strategic chaguo la pili, lakini hii yote inategemea na future plans zako na connection zako. pili MBA nyingi term ya kwanza masomo yanakuwa sawa halafu baadae ndio mnakuwa tofauti kwa hiyo unaweza kusoma halafu baada ya term ya kwanza pale mnapoanza utofauti ukabadilisha.

  note ukiondoka kwenye hiyo kampuni unayofanya usiache kazi omba likizo, ukirudi unarudi kazini halafu unatafuta kazi nyingine ukiwa kazini kwa hiyo unakuwa hauna pressure sana.

  je ni universirty gani unaenda HW in scotland

  if you think there is anything i can help ni PM na nitajitahidi kukujibu

  I wish you all the best
   
 6. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  asante semilong, umenipa mwangaza mkubwa sana, ujue mi mtu wa maporini, well ni Edinburgh Business School ndo nitajoin, najua is one of best MBA schools!
   
Loading...